samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Samia: Tutajenga uwanja mkubwa wa michezo Msoga kumuenzi Kikwete

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  2. GE2025 Samia: Hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama siku ya Uchaguzi

    Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi. ================= "Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende...
  3. GE2025 Samia: Usanifu wa barabara njia 6 ya Maili moja- Chalinze unaendelea

    Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia...
  4. GE2025 Bwege: Rais Samia ajibu tuhuma za ukosefu wa Uhuru na Haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Kikosi kinachoteka watu kinaitwa 'Task Force'

    Seleman Bungara maarufu "Bwege" amemtaka Rais Samia kutoa majibu kuhusu tuhuma zinazohusu kutekwa kwa baadhi ya watu, Bwege amesisitiza kuwa kukaa kimya katika tuhuma hizo ni sawa na kuthibitisha ukweli wake. Amesema kuwa kama Rais atatoa majibu, wananchi wataweza kuyapima maneno yake dhidi ya...
  5. GE2025 Wasira: Vituo vya afya vilivyojengwa chini Rais Samia ni kama hospitali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kwa miaka minne ya uongozi wake, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanikisha mambo makubwa, hivyo Watanzania wanapaswa kumrudisha madarakani ili aendelee kuleta maendeleo. Wasira amesema hayo leo, Septemba 27, 2025...
  6. GE2025 Gerson Msigwa: Rais anawapa Milioni 10. Anataka Yanga icheze fainali ya CAFCL

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika. Ameyazungumza hayo akiwa...
  7. Rais Samia afika Unguja kuifariji familia ya Mwinyi

    Rais Samia Suluhu amefika nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania, Mjini Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Abbas Ali Mwinyi. Abbas alifariki dunia Septemba 25 mwaka huu katika Hospitali ya Lumumba, Unguja alipokuwa akipatiwa matibabu. Pia Soma: TANZIA - Abbas...
  8. GE2025 Karimu Chipola: Rais Samia ameboresha maisha yetu

    "Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM kwa kazi kubwa aliyoifanya hasa kugusa maisha ya wakulima na kutukwamua kiuchumi. Ni Rais pekee ndani ya kipindi cha miaka minne na Nusu ameweza kutugusa sisi kwa kuboresha maisha yetu. Aliweza kufanya uthubutu...
  9. H

    GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

    Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi. Huwezi kuahidi wananchi kuwa...
  10. GE2025 Kazi ya miaka 4 ya Rais Samia ni sawa na miaka 40

    Wakizungumza leo Septemba 25, 2025 wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika mjini Lindi, baadhi ya wanawake wakazi wa Mkoa huo wamesema maendeleo yaliyopatikana katik kipindi cha Miaka minne (04) ya uongozi wa Dkt. Samia yangeweza...
  11. GE2025 Polepole: Rais Samia, wananchi hawakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM

    Polepole: Wananchi awakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM na wahanga ni Tanzania nzima Nikusihi usirudie tena kuwatisha waTanzania kwa dhamana waliyokupa.
  12. GE2025 Samia: Hakuna Chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua Utu wa Mtanzania kama siyo CCM

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna chama chochote cha siasa nchini kinachoweza kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama CCM. Akihutubia wananchi wa Mchinga mkoani Lindi katika mkutano wa kampeni...
  13. GE2025 Samia: Upinzani wanaiga sera za CCM

    Mgombea Urais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wapinzani wanaiga sera za Chama Cha Mapinduzi ambazo tayari imefanya.
  14. GE2025 Samia: Tutatoa ruzuku ya Pembejeo bure na kutafuta masoko ya korosho ili kuongeza tija kwa wakulima

    Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi, serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima ili kuendeleza sekta ya kilimo nchini. Dkt. Samia ametoa ahadi hiyo leo Septemba 25, 2025 wakati akinadi sera...
  15. GE2025 Kassim Majaliwa: Najua umakini na nia thabiti ya Samia kwa Watanzania

    Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna anavyotaka kuwaletea maendeleo. Majaliwa amesema hayo akiwa katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Ruangwa...
  16. GE2025 Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda

    Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara...
  17. GE2025 Samia: Wenzetu wanayolalamikia hakuna lisilozungumzika, mengi tumekaa, tumeyafanyia kazi, tusilete vurugu

    Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu. ======================= “Wenzetu wanayolalamikia hakuna...
  18. GE2025 Ally Mshamu: Kwa aliyotufanyia Samia hatakiwi kuomba Kura, Matokeo yake yanaonekana vizuri

    Ally Mshamu Nampwita, mkulima wa zao la korosho kutoka Kijiji cha Mnavira, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, hakuwa na sababu ya kuomba kura kwa wananchi wa mkoa huo, kwa kuwa tayari amewatendea mambo makubwa...
  19. GE2025 Mwananchi: Hata aje Trump! Mama Samia atashinda

    Wakazi wa Masasi Mjini wameonesha mshikamano na upendo wa kipekee kwa kujitokeza kwa wingi katika kibanda umiza katikati ya mji kufuatilia kampeni za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Wananchi wa rika zote, wake kwa waume, vijana kwa wazee...
  20. GE2025 Dkt. Samia awahakikishia umeme wa uhakika Masasi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kujengwa kwa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Mkoani Ruvuma- Tunduru mpaka Masasi Mkoani Mtwara ili kutoa uhakika wa upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…