Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani.
Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea...
Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kutoka vyama vya upinzani Tanzania nzima.
Anarekodi yake...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Kata ya Guruka, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma, ameahidi kuwa serikali yake itaweka nguvu katika kupambana na umaskini kwa kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani ya...
Sera za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Salum Mwalim Akiwa Nyakanazi, Biharamulo mkoani Kagera, wakati akielekea mkoani Kigoma, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo.
Amesema, endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewaahidi wananchi mkoani Kagera na maeneo mengine ya mipakani kuwa, kikipata ridhaa ya kuongoza dola, kitahakikisha hakuna raia anayebughudhiwa au kunyanyaswa kwa sababu ya uraia.
Chama hicho kimesema kitaunda Serikali itakayothamini rasilimali watu kwa...
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nyankumbu, mkoani Geita, Septemba 16, 2025 alisema Mpambano uliopo kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uchaguzi wa mwaka huu...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kusimamia maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha zao la pamba linarejea kwenye heshima yake...
BABA WA TAIFA ALITUFANYA TUWE WAJANJA, SIO WAJINGA
Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha viwanda vya kuchakata mazao yanayolimwa nchini hasa mkoani Arusha kunakotoka Vitunguu, na...
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.
Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.
John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.
Niitieni Salimu mwalimu
Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Salum Mwalimu, ameanza ziara yake mkoani Tanga kwa ajili ya kuomba ridhaa ya wananchi kumpa nafasi ya kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wananchi katika mikutano wa hadhara...
Hivi ndivyo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu alivyokaribishwa jukwaani kuwahutubia wafuasi wa chama hicho kwa wimbo wa Mchizi Mox uitwao ‘Mambo Vipi!’
Leo Agosti 31, CHAUMMA kinafanya ufunguzi wa kampeni katika...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim amesema Serikali yake ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha huduma mbalimbali yakiwemo maboresho ya sera ya habari ili vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi na kuifanya tasnia...
Uzi Maalum wa mijadala yote ya michakato ya ziara za kampeni za mgombea nafasi ya Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na Mgombea mwenza Devotha Minja.
----------------
Agosti 27, 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua...
Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Mwalimu ambaye pia ni...
Ni yupi ana ushawishi zaidi na angalau mtaji wa kura za kumzidi mwingine? Kumbuka Luhaga Mpina anatoka mkoa Simiyu, huku Salumu Mwalimu akiwa anatoka Unguja, Zanzibar.
Salum Mwalimu ana uzoefu wa kua naibu katibu mkuu wa chadema Taifa huko nyuma, na pia aliwahi kua mgombea mwenza wa urais...
Mgombea Urais kupitia Chama cha maendeleo kwa Umma (CHAUMA) Salum Mwalim amesema kuwa Kama akipata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha anafanya mabadiliko ya Katiba ya nchi Pamoja na mifumo ya kisheria.
Mwalimu ameyasema hayo mara baada ya kuchukua fomu ya...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema;
"Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.