Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha.
Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya siasa.
Unaweza usione athari kama walivyo wajinga wengi,lakini ulishawahi kufikiri kwanini mtoto mkubwa...