sala

Šaľa (pronunciation ; Hungarian: Vágsellye, German: Schelle) is a town in south-western Slovakia.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

    Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo: Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukristo Unafundisha Upendo, Mzungu Mwenye Jaziba Katulizwa na Upendo Na Sala

    https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu wa Lucky Dube ukawe SALA kwako

    Naomba wimbo huu kwa nyakati hizi, ukawe kama sala kwako! Hasa pale anaposema kuwa huwezi kujua hadi pale MTU aliyevaa koti jeusi atakapokuvamia, Gwajima yeye alisema, hatujui kesho ni Nani..... Tuanzie na verse hii Come on now little boy Say your prayers before you sleep Little boy went down...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Sala Maalum kwa Kila Mwanachama wa JamiiForums – May You Be Uplifted and Transformed

    Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio, maarifa, amani, na mabadiliko katika maisha yao. Baba, tunakuomba uwafungulie njia mpya – open doors of...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sala maalumu leo siku kuu ya MATAWI

    Ee Mungu mkuu, leo tunakumbuka siku ambayo Yesu Kristo aliingia jijini Jerusalem kwa shangwe kama mfalme wa Haki. Tunaomba kwa mkono wako wenye nguvu, utuondolee watawala dhalimu wanaotesa watu, wanaoua watu, wanaobambikiza kesi, wanaojilimbikizia mali, wanaotapanya mali za umma, wanaopora...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kumekucha salama! Karibuni kwa sala ya asubuhi, tumshukuru Mungu

    Mungu Baba, umetuagiza katika 1 Thes 5:18 kwamba tushukuru kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi yako kwetu katika Kristo Yesu. Tunakushukuru sasa Baba kwa kutulinda usiku kucha. Tumelala usingizi mnono na kuamka tukiwa na nguvu na uzima. Asante sana Baba kwa neema yako. Endelea kutulinda...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Karibuni wote tuombe sala ya usiku - Mungu atulinde

    Mchana umetoweka, usiku umeingia! Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya. Yesu...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tazama Ramani ndiyo uwe Wimbo wa Taifa, Mungu iwe Sala ya Taifa

    Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ewe Mtanganyika, ukimsikia Mtawanyika akisema hakuna Mungu, wala sala hazisaidii, mtizame usoni kisha utabasamu na uondoke zako.

    Wanajukwaa Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote. Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato wanachofanya Mapadre kwenye sala ya kitubio ni kwa mujibu wa Biblia, sawa na kazi ya ukuhani anayoifanya Yesu hekaluni mbinguni muda huu.

    Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Sabato njema Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro, wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  14. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania "Mikono ya inayosali " - The hands that pray

    Inawezekana umeiona hii picha mara nyingi, ila leo utaifahamu stori ya kusikitisha iliyojificha nyuma ya hii picha, stori inaanzia karne ya 15 katika kijiji kidogo kilichopo pembeni ya jiji la Nuremberg, huko ujerumani. Kulikua na familia yenye watoto kadhaa, ilikua ni familia maskini ili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality life baada ya kufa. Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja jishikiza kwenye...
  16. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi

    Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi:)
  17. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Sala sala nice house for sale

    Salasala house for sale 4bedroom house Area size 750 sqm Price 90 tsh millions only Contact us 0744873708
  18. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Shetani mpenda sala!

    Watakatifu wa usoni. Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila za watu wenye kujali maslahi yao binafsi kwa kutumia taswira ya utakatifu na uadilifu wakati...
  20. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    JamiiForums Tanzania Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

    Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni. Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi. Binti ya wangu...
Back
Top Bottom