sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. The Supreme Conqueror

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  2. Yoda

    Wakatoliki radicals wanatia aibu katika tuhuma za paroko muuaji sakata la Asimwe, wanahitaji kukataliwa

    Baadhi ya wakatoliki wanatia aibu sana katika hili sakata la anayedaiwa ni paroko kukamatwa kwa shutuma za mauji ya binti albino Asimwe. Maoni yao hao wakatoliki naoweza kusema ni "radicals" yanatia kichefuchefu na kuonyesha jinsi gani dini bila kujali ni ya upande gani inavyoweza kutafuna na...
  3. T

    Sakata la Mh Mpina ni kidhihirisho Tosha kwa Watanzania kuhusu umuhimu wa kuwa na Bunge lenye Uwakilishi wa Vyama Vingi (Bunge Mseto)

    Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
  4. Yoda

    Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  5. Frank Wanjiru

    Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

    Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba. © MANGUNGU 🙌
  6. Mpinzire

    Kutokana na sakata linaloendela Simba Sports Club! Naomba mwenye nakala za Katiba ya Simba na Young African tuzipate.

    Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
  7. Idd Ninga

    Sakata la Mtoto kulawitiwa na Watoto wenzake Arusha:Je sheria inasemaje ?

    Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
  8. Bata batani

    Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

    Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
  9. Suley2019

    Za ndaani: Sakata la Inonga na Simba limefikia hapa

    Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo. Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo zilikuwa zinamujitaji sana akaweza kupata na mazungumzo ya Agent yalienda vizuri ila tatizo ni ile...
  10. A

    DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni ya Mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuiongezea ukwasi...
  12. Ndagullachrles

    Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  13. Logikos

    Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia hawa kidogo kiwe kikubwa kidogo, ni vema tukaangalia ni vipi hatari inayokuja kesho ya wazee wa...
  14. chiembe

    Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

    Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na...
  15. B

    Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Mchele Unaoingizwa nchini Rwanda walaumiwa kwa kukosa viwango vilivyo andikwa ktk vifungashio . .. Mwishoni mwa mwezi uliopita, habari za utapeli na uaminifu katika mamia ya tani za mchele kutoka Tanzania hadi Rwanda zilitawala vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya ndani. Baadhi...
  16. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  17. Frank Wanjiru

    Sakata la Dube: Manara amjibu Jemedari Said

    Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram. "Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi...
  18. GoldDhahabu

    Sakata la mfanyabiashara Shamy kulikimbia Jiji la Dar: Nani alaumiwe?

    Alaumiwe nani? 1. Shamy? 2. Kampuni ya Shamy? 3. Kampuni iliyoingia naye mkataba? 4. Afande Muliro? 5. Mtu "mkubwa"? Lawama zielekezwe kwa nani?
  19. MDAU TZ

    Sakata la NHIF na madudu ya Mashirika ya umma

    KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa. Mgomo huo uliotolewa na baazi...
  20. DR Mambo Jambo

    Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

Back
Top Bottom