Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in...