sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kujua idadi sahihi ya wakazi na makazi ya watu; Mfumo wa uhesabuji sensa ya watu na makazi watumike mabalozi na viongozi wa mtaa?

    Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA. Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla. Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa. Natoa...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa anazofanya Freeman Mbowe zipo sahihi ✓

    Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 👊👊👊 Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz keyboard worries Naomba we lamba Asali TU Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu they knows nothing Wao ni Diamond na Alikiba, Simba Yanga , ngono na pombe 24/7 That All
  4. JamiiForums Tanzania WCB wako sahihi kuweka miaka 10 kwenye mikataba yao. Ni michache kwa uwekezaji wanaoufanya

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo nami nimeona nitie neno kwenye hili suala linaloendelea mitandaoni na nje ya mitandao kuhusu mikataba ya wanamuziki kwenye label ya WCB. Hii itasaidia watu wengine wasio na akili nyingi kama mimi kuelewa hili jambo. Maneno ya upotoshaji yamekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
  6. JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    “Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi ni sahihi? Kuanza na plasta ndio uweke frame za milango au uanze kuweka frame then plasta?

    Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri. Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Kwa sababu 1 + 1 = 3 na 1 + 1 + 1 ni 7; juhudi katika uelekeo sahihi ni lazima

    Naam, moja ongeza moja ni tatu. Katika juhudi (effort) huwa ipo hivi; zikiunganishwa jitihada zaidi ya moja, matokeo yake huwa ni makubwa kuliko ile jumla yake ya kihesabu tu. Uliwahi kutokea ubishi huko Ulaya ya karne hizo. Wamiliki wa farasi walibishana kuhusu nini kitatokea endapo farasi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twitter imeanza kuonesha matokeo ya Uchaguzi wa Kenya yasiyo sahihi

    Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura yaliyowekwa na watu binafsi, na kutahadharisha watumiaji kuwa matokeo hayo hayatokani na Tume Huru ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa maprogrammer

    kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi zinazoitwa connection ni nini? Je, ni jina sahihi linavyotumika huko?

    Kuna mambo mengi yanaendelea huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hili la connection limepamba moto, kwanza kwanini huu udhalilishaji unaitwa CONNECTION? Inaconnect nini na nn? kwanini inaitwa connection ya flani? binti au kijana au mzee mwenye jina lake flan bin fulani Kwanini jamani...
  13. JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adai kuwa ni sahihi kuchukua mapato ya wasanii wake kwa 60%

    Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake. Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Betting ni njia sahihi ya kujikwamua kiuchumi?

    Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka, Picha: Watanzania wakiwa katika moja ya kampuni la michezo ya kubahatisha (Benjamin Fernandez 2017) Lakini swali la...
  17. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kukamata watu wakajifunze Mgambo?

    Arusha. Kumetokea kamata kamata ya watu isipokua wazee, wenye ujauzito, vilema, na watoto u-18, wakacheze mgambo kwa lazima huko namanga mpaka wa tz na ke. Je, ni sahihi kwenye hili? Je, ni kwa Tz nzima? kama ndio je sehemu zingine wameanza au muda bado? Je, mamlaka haya ni kutokea wapi na kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kimya ni jibu sahihi sana

    Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏 Ndiyo hivyo🤜
  19. JamiiForums Tanzania Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
  20. JamiiForums Tanzania MAARIFA MBADALA: Tambua kitu sahihi kwa njia sahihi cha kufanya maishani

    Habari ya Usiku wana JF, Natumaini mko poa na wmaendelea vyema kabisa katika majukumu yenu na ratiba zenu za kila siku. Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu majukwaani zinazoelezea njia mbalimbali yakupamana na tatizo la ajira yakitolewa mawazo na miongozo mbalimbali ambayo huenda si kwa kila mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…