safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari? Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Mashirika ya Ndege kutakiwa kuwalipa Fidia Abiria endapo yataahirisha au kuchelewa Safari

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wizara ya Uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazoyalazimu Mashirika yote kugharamia Chakula na Malazi ikiwa uchelewaji utakuwa ndani ya udhibiti wa Shirika. Baadhi ya sababu zitakazochangia kulipwa fidia ni pamoja na Matatizo ya Kiufundi na Shirika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  5. JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Safari milioni 274! Mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanaonyesha kuimarika kwa uchumi wa China

    "Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya Ujasiriamali: Safari ya Mwanamke Mjasiriamali katika kuinua Wanawake wenzake

    Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
  8. JamiiForums Tanzania Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

    Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
  9. JamiiForums Tanzania Mhubiri Paul MacKenzie alianzaje safari tata ya kuwashawishi watu kufunga hadi kufa?

    Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama. Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni. Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Safari ya kumkomboa mtu mweusi bado ndefu sana

    Safari ya kumkomboa mtu mweusi itachukua miaka mingi, maana uhuru wa mtu mweusi upo katika mikono na miguu lakini akili bado imefungwa minyororo. Naandika haya kwa kuona kuwa, ili taifa liendelee hatuitaji mambo mengi zaidi kufungua akili zetu zilizofungwa minyonyoro.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

    Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama? Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba halichezwi. Wenyewe wanasema ipo hivyo kwa sababu ya kutoa fursa kwa wanaofunga kuitumia ibada...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  14. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unahofia/unaogopa kisikupate mpaka unaimaliza safari duniani?

    Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu. Tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu: Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari Kung'atwa na viumbe vyenye sumu kama nyoka, n'ge, tandu au buibui Kuuawa Kupata ulemavu wa viungo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaruhusu Mabasi kufanya safari za usiku

    Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Usalama wa Barabarani: Safari za Usiku za Mabasi haiwezekani kwa route zote

    Mkuu wa kikosi cha Polisi cha Usalama wa barabarani ACP Ramadhani Ngazi asema kuna changamoto za kiusalama. Ni kwenye baadhi ya mikoa kutokana na ujambazi n.k Akitaja maeneo ya Rukwa, Katavi, Kagera kuna mapori ambayo ni tishio kwa utekaji. Akizungumza mbele ya kikao cha LATRA baada ya azimio...
  17. JamiiForums Tanzania Ili kupunguza hasara, ATCL ifute safari kuelekea vituo visivyo na abiria, hasa Chato

    Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani. Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
  18. JamiiForums Tanzania Ile safari ya Arsenal kutokuchukua ubingwa inaanza leo kwa kichapo pale Anfield

    wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
  19. JamiiForums Tanzania Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…