Rais Mwinyi Leo katika sabasaba katembea kwa mda wa masaa 3

Rais Mwinyi Leo katika sabasaba katembea kwa mda wa masaa 3

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,864
Reaction score
28,185
Wakuu hii sidhani kama ilikuwa sahihi kwa watu wa protocol na wahusika wengine

Wamemtembeza Mh Rais katika mabanda yaliyobanana yenye fujo na juto kwa mda wa masaa 3 huenda na zaidi akikagua biashara na kupata maelezo kutoka kwa waelezaji ambao hawakuwa wamejipanga

Ile kazi katika zama hizi za kidigital wangeweka screen nzuri na kufanya presentation nzuri mule ndani Kisha ye angekagua biashara Chache tu basi

Sio sawa pole sana mzee Mwinyi
 
Back
Top Bottom