sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vijana wengi hasa Gen-Z kuota mvi?

    Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi. Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake? Jaribuni kuchunguza mtaona mfano Steve Nyerere
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

    Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao kuwa hasi kwa wengine ndio faraja yao, ila sio kwamba wanaridhika na jinsi walivyo, ni kwa sababu wanajichukia

    Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu. Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo lakini kumbe ni mtoa hoja au ushauri ana teseka ndani yaani ni SADISTIC. ISHI MAISHA YAKO, MATUSI...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ataja sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa na Watanzania

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za msingi za muda wote

    1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954 2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu. 3. Wajumbe (viongozi) wao hawana uhusiano wowote (hata wa damu) na wale waliokuwa TANU (waasisi wa Taifa letu)...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kuachana

    UNASIKIA MAUMIVU MOYONI KIASI CHA KUTAKA KUVUNJA NDOA YAKO..? Salam.. Maisha ni mafupi sana hapa duniani, epuka kufanya vitu kwa kurudia-rudia. Jizatiti kabla ya kuingia kwenye ndoa, ukishaingia kwenye ndoa acha maisha yaendelee. Kuachana ni kuongeza matatizo, sio suluhisho kwa namna yeyote...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  11. JamiiForums Tanzania Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

    Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao . Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
  12. JamiiForums Tanzania Netanyaahu amenuna kwa sababu kilichokuwa kinajadiliwa zaidi mlango wa Hormz siyo nuclear

    Marekani na Iran Wafikia Makubaliano ya Kumaliza Vita, Hormuz Kufunguliwa Tena Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hatua inayotarajiwa kuleta nafuu kwa uchumi wa dunia na kurejesha utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati...
  13. JamiiForums Tanzania "Je, Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba tu, si kwa ajili ya afya?"

    Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi tunachagua chakula kwa bei nafuu, ladha au wingi wake, lakini si kwa ubora wake kiafya. Matokeo yake...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui sababu kwa nini Russia kaivamia Ukraine ..

    © Getty Images; Adam Gault US Director of National Intelligence (DNI) Tulsi Gabbard has released new evidence that US-funded biological laboratories in Ukraine were researching dangerous pathogens. Washington previously denied any role in running these labs. Published on Friday, the...
  15. C

    JamiiForums Tanzania "Ndiyo ninachagua ila sababu zangu za kuchagua zinachaguliwa"-UHURU WA KUCHAGUA NI UDANGANYIFU

    Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k. Yote...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

    Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
  17. JamiiForums Tanzania 🧠🤝 Sababu 10 Zinazowafanya Watu Wenye Social Intelligence Kufanikiwa Zaidi Maishani

    Watu wengi huamini kuwa mafanikio yanategemea akili za darasani (IQ), elimu au vipaji pekee. Ingawa mambo hayo ni muhimu, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa uwezo wa kuelewana na watu, kujenga mahusiano mazuri na kusoma hisia za wengine ni moja ya silaha kubwa za mafanikio katika maisha. Huu ndio...
  18. JamiiForums Tanzania My CIDP Experience: Hivi ulishaumwa hadi ukaogopa kulala sababu unaweza pitiliza moja kwa moja usiamke?

    PART 1: Hello bosses and roses.... Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu, naomba niandike makala hii labda itawasaidia baadhi ya watu Daah, maisha haya ni fumbo sana. Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu picha za noti za Fedha huandikwa SPECIMEN badala ya kuoneshwa kama zilivyo?

    Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati. mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mpemba aliwahi kuniuliza "unajua kwanini Uislam umeshikilia sana Uarabuni na Africa" akasema "kwa sababu waafrika na waarabu wanaongozwa na mihemuko"

    This was 2019, Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…