sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  2. Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  3. CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  4. PreGE2025 Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

    " Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama. Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda...
  5. Kurasa gani mtandaoni zimeku-block? Sababu ilikuwa nini?

    Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block; 1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa. 2. Martin Maranja Masese - huyu...
  6. Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  7. Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa. Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa. Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai...
  8. Kwa Kauli hii ya RC wa Simiyu kuhusu Watu 22 Waliokufa Machimbo sioni sababu ya Serikali kuhangaika nao au watu kuwalilia

    "Baada ya Juzi Wachimbaji hawa Kuingia Chini Shimoni walikuta Madini ya Dhahabu ila kukaonekana kuwa hali ya Kule chini Kimazingira haikuwa Salama hivyo walivyopanda Juu na. Kuielezea kwa Wataalamu na Viongozi ilishauriwa wasubirie Kwanza ili Kuwatengenezea Mazingira mazuri ya Kiusalama Kwao...
  9. PreGE2025 Kwa sababu hizi, maandamano ya CHADEMA Tar 24 yaungwe mkono na kila mtanzania

    1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake. 3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
  10. B

    Haioneshi picha nzuri kwa viongozi kunawiri/kunenepeana ilhali raia wakikondeana kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%. Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri wanaishi katika nchi 2 tofauti! Viongozi wengi wa sasa wanazidi kunenepeana huku raia walio wengi...
  11. Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  12. Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  13. Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

    Wanajamii naombeni sababu za kitaalamu zilizofanya goli la Azam kutokuwa offside. Kwakuwa marejeo ya video yanaonyesha kabisa aliefunga goli alizidi.
  14. Kumbe hii ndo sababu ya yeye kukataa kunitunuku mbususu

    Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila rangi huku wengine mkijaribu kunibebesha mzigo wa kiburi. Nikaamua kuforce kubadilika ili nijichanganye...
  15. Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  16. Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  17. K

    Sababu ya wadau kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo

    Wadau wengi kama mimi tuna amini kwamba kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo. Ni lazima tujue kwamba demokrasia nzuri inaendana na katiba nzuri, bunge la ushindani, Uraisi wa ushindani na serikali za mikoa na wilaya za ushindani. Haya ni mambo machache ambayo yanasababisha sisi wadau...
  18. D

    Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  19. Malipo/michango isio takiwa kulipwa lakin watz tunalipa bila kuhoji kwa sababu ya woga

    1-pesa ya taka Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji  2-pesa za ulinzi shirikishi . pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu . Kodi tunalipa halafu Kuna...
  20. Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri. Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi. Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa, Ila mjinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…