Habari za muda Wana JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nimeamka nikiwa mchovu sana +hang over ya mapombe ya Jana tulivyofungwa na wale waarabu.
Siku na mood kabisa ya kufanya kazi... kinyonge sana, mida ya saa Tano hv... nilikuwa tayari, nimekwisha jiandaa naelekea nikapande daladala...