sababu za

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    Hizi hapa ni sababu za kwa nini maeneo mengine yana maendeleo makubwa na mengine kidogo(energy way)

    Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho kuliacha sababu ni hii Katika kila eneo kuna kuwa na energy(nguvu) fulani kwa mambo fulani ndani ya...
  2. K

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu. Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
  3. Mhaya

    Sababu za Marekani kutaka Vita na IRAN

    1. Hatari ya silaha za nyuklia Marekani inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama tishio kubwa—inamshutumu Iran kutaka kujenga silaha za nyuklia (na wakati huo Iran inasema ni kwa matumizi ya amani tu). Marekani inadai inataka kuzuia Iran isipate uwezo wa nyuklia kamili kwa maana ya tishio la...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

    Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau.. Sababu ya pili...
  5. Parabolic

    Sababu za Jerry Silaa kukumbwa na mikosi

    Siasa za makundi na kushindwa kusoma alama za nyakati ndio vinatajwa kuwa sababu ya mikosi anayopata aliyekuwa Mbunge wa Ukonga na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa. Mkosi wa hivi karibuni uliompata ni Kesi Ardhi Namba 000032646 ya Mwaka 2024, shauri hilo linatokana na...
  6. Joshua Mbezi

    Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  7. zaza1

    Sababu za kufeli kwa TTCL na nini ifanyike kulinusuru

    TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la...
  8. jamaikatz

    Nini sababu za wewe kuwa mpweke ?

    Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
  9. adriz

    Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  10. Z

    Mauaji ya Samia na sababu za 'kutapatapa'; Ooh, nchi jirani! Ooh, walilipwa!

    Anajiita rais, lakini hajui anakwenda wapi! Alianza kwa kusema fujo ni watu wa nchi jirani. Sasa anadai walilipwa. Yaani anatoa majawabu anayotaka kusikia. Pembeni kuna usanii wa Commonwealth na hadithi ya maridhiano. Yaonekana hakuna niya ya kueleza wauaji ni akina nani. Kuna kundi limetenda...
  11. Genius Man

    Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  12. Genius Man

    PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

    MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji: a) Kamati za mipango (planning committees) Hizi kamati...
  14. K

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika. Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
  15. britanicca

    Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  16. Mad Max

    China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!

    Wakuu. Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku. Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
  17. Fbn

    Front-Running na Market Manipulation: Sababu za Hedge Funds Kushitakiwa Marekani

    Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama front-running na market manipulation vinapingana na sheria za Marekani, na vinaweza kusababisha kesi za...
  18. Pascal Mayalla

    Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Wanabodi Angalizo la uchangiaji Hili ni moja ya mabandiko yangu ya mada za kikubwa,na huwa yanapanda humu mida ya usiku mkubwa wakati watoto wameisha lala! Hakuna jina la mtu yeyote, limetajwa kwenye bandiko hili. Hivyo naomba sana wachangiaji changieni kikubwa, tusilete utoto humu wa kutaja...
  19. Elius W Ndabila

    GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

    KWA NINI DKT SAMIA ANACHUKIWA? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi sasa, wakati mchakato wa uchaguzi unakaribia wamejitokeza baadhi ya Watanzania ambao ni WanaCCM na wengine Wanachama wa vyama vingine vya siasa kupeleka shutuma kadhaa kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Dkt Samia Suluhu...
  20. U

    Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
Back
Top Bottom