saa

  1. JamiiForums Tanzania Saa saba Usiku Muda wa Kuombea ndoa Uchumi na Uponyaji

    MAOMBI YA USIKU YA UPONYAJI, UCHUMI, NDOA, BIASHARA NA KAZI Ee Baba wa Mbinguni, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Ninakuja mbele zako usiku huu nikiwa na moyo wa unyenyekevu na shukrani. Wewe uliyeanza siku hii nami, nakushukuru kwa ulinzi wako, rehema zako na neema zako ambazo hazikomi. Ee...
  2. JamiiForums Tanzania Saa Tisa Muda wa Maombi Malaika wameshuka

    Maombi ya Nguvu za Kimungu na Kufunguliwa kwa Jicho la Tatu (Maono ya Kiungu) (Saa Tisa Usiku – Wakati wa Roho Mtakatifu Kuongea na Nafsi) Ee Baba Mtakatifu, Mungu aliye hai, Ninakuja mbele zako usiku huu wa kipekee, Nikiwa nimevua utu wa mwilini na kujinyenyekeza rohoni, Nikitafuta uso wako, na...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Nyie mood mmebadili title yangu. Msingi wa maelezo yangu umepotoshwa wote. SIHITAJI MCHUMBA!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Airtel mna tatizo gani kuanzia saa 9 jioni baadhi ya maoneo video hazichezi

    Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United. Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mtindo unafanywa na makampuni yanayoshughulika na miamala unaambiwa utaunganishwa na huduma ndani ya saa 48

    Wakuu kwema? Kuna haka kamtindo kameingia na kanashamiri. Huu mtindo unafanywa na makampuni yanayoshughulika na miamala. Fikiria kampuni yoyote ambayo itakudai hela kupitia mitandao ya simu. Sasa mashaka yangu yanakujaje? Unakuta unanunua huduma aidha ya maji, umeme, au kisimbuzi. Umeweka hela...
  9. JamiiForums Tanzania Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

    Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege. Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba msaada jamani tumekwama na basi Dodoma tangu Saa 8 Usiku

    Habari Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa nadhani ni maeneo ya Fufu karibu na Chamwino tangu Saaa 8:52 usiku, wenyeji wa hapa wametaja kuwa eneo hilo linaitwa hilo jina nililolitaja hapo ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa. Hamna dereva wala konda...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  13. JamiiForums Tanzania Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi zile saa 72 walizotoa Yanga bodi ya ligi hazijapita?

    Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
  15. JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha, Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...
  16. JamiiForums Tanzania Mazoezi ya nusu saa yahairisha mechi ya Simba vs Yanga

    Leo 18:50hrs 08/03/2025 Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
  17. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  18. JamiiForums Tanzania Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
  19. JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

    Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…