rwanda

Rwanda ( (listen); Kinyarwanda: u Rwanda [u.ɾɡwaː.nda] (listen)), officially the Republic of Rwanda (Kinyarwanda: Repubulika y'u Rwanda; Swahili: Jamhuri ya Rwanda; French: République du Rwanda), is a country in Central Africa and one of the smallest countries on the African mainland. Located a few degrees south of the Equator, Rwanda is bordered by Uganda, Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo. Rwanda is in the African Great Lakes region and is highly elevated; its geography is dominated by mountains in the west and savanna to the east, with numerous lakes throughout the country. The climate is temperate to subtropical, with two rainy seasons and two dry seasons each year.
The population is young and predominantly rural, with a density among the highest in Africa. Rwandans are drawn from just one cultural and linguistic group, the Banyarwanda, although within this group there are three subgroups: the Hutu, Tutsi and Twa. The Twa are a forest-dwelling pygmy people and are often considered descendants of Rwanda's earliest inhabitants. Scholars disagree on the origins of and differences between the Hutu and Tutsi; some believe differences are derived from former social castes within a single people, while others believe the Hutu and Tutsi arrived in the country separately, and from different locations. Christianity is the largest religion in the country; the principal language is Kinyarwanda, spoken by most Rwandans, with English and French serving as additional official languages. The sovereign state of Rwanda has a presidential system of government. The president is Paul Kagame of the Rwandan Patriotic Front (RPF), who has served continously since 2000. Today, Rwanda has low levels of corruption compared with neighbouring countries, although human rights organisations report suppression of opposition groups, intimidation and restrictions on freedom of speech. The country has been governed by a strict administrative hierarchy since precolonial times; there are five provinces delineated by borders drawn in 2006. Rwanda is one of only two countries in the world with a female majority in the national parliament, the other country being Bolivia.
Hunter-gatherers settled the territory in the stone and iron ages followed later by Bantu peoples. The population coalesced first into clans and then into kingdoms. The Kingdom of Rwanda dominated from the mid-eighteenth century, with the Tutsi kings conquering others militarily, centralising power and later enacting anti-Hutu policies. Germany colonised Rwanda in 1884 as part of German East Africa, followed by Belgium, which invaded in 1916 during World War I. Both European nations ruled through the kings and perpetuated a pro-Tutsi policy. The Hutu population revolted in 1959. They massacred numerous Tutsi and ultimately established an independent, Hutu-dominated republic in 1962. A 1973 military coup saw a change of leadership, but the pro-Hutu policy remained. The Tutsi-led Rwandan Patriotic Front launched a civil war in 1990. The presidents of Rwanda and Burundi, both Hutus, were killed when their aircraft was shot down on 6 April 1994. Social tensions erupted in the 1994 genocide that followed, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000-1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. The RPF ended the genocide with a military victory.
Rwanda's developing economy suffered heavily in wake of the 1994 genocide, but has since strengthened. The economy is based mostly on subsistence agriculture. Coffee and tea are the major cash crops for export. Tourism is a fast-growing sector and is now the country's leading foreign exchange earner. Rwanda is one of only two countries in which mountain gorillas can be visited safely, and visitors pay high prices for gorilla tracking permits. Music and dance are an integral part of Rwandan culture, particularly drums and the highly choreographed intore dance. Traditional arts and crafts are produced throughout the country, including imigongo, a unique cow dung art.
Rwanda has been governed as a unitary presidential system with a bicameral parliament ruled by Rwandan Patriotic Front since 1994. The country is member of the African Union, the United Nations, the Commonwealth of Nations, COMESA, OIF and the East African Community.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kweli kwamba Rwanda kuna ukabila uliokithiri na ubaguzi?

    Naambiwa kwamba Watutsi ni kundi la watu wachache sana lakini wao ndio wameshikilia vyeo vingi serikalini, jeshini, sehemu zao zinaendelezwa, n.k. huku Wahutu ambao ni karibia asilimia 85 ya nchi wana maendeleo duni na kubaguliwa kwenye vyeo, kuna ukwel?
  2. TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
  3. Uchaguzi Mkuu wa Rwanda kufanyika Julai 15, 2024

    Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne. Tume hiyo kupitia ujumbe wa X imesema kwamba uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe 53 waliochaguliwa na vyama vya kisiasa, au...
  4. Mziki wa Rwanda

    Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk. Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique, The Ben, Nillan, Chris Eazy, Bruce Melody nk.) Wote hao wana mziki mzuri sana bila kusahau vocal...
  5. Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

    Kama Rwanda yenye size ya Mkoa wa Mtwara inaweza kutangaza Utalii wake kwenye kwa kufunga mikataba ya Utalii na Klabu kubwa kama Arsenal na sasa Buyern Munich, hivi Tanzania inashindwa wapi? Halafu unawasikia wale wanaojiita Viongozi wa Wizara eti wakisema Tanzania itafikisha watalii mil.5...
  6. Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  7. Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  8. Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  9. Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  10. Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  11. Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

    Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo. Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua...
  12. Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  13. Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
  14. Mratibu wa Miss Rwanda afungwa jela miaka 5 kwa kuwaomba Rushwa ya Ngono washiriki

    Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano hilo. Disemba 2023, Hakimu alitoa hukumu ya awali dhidi ya Ishimwe inayoonesha hakuwa na hatia...
  15. Z

    Rwanda wanaenda kuua na kuiba madini DR Congo

    Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC. Soma makala hii hapa chini ==== Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain Mining industry elites use...
  16. Kabwili akiwasha Rwanda, anaidai Rayon Sports mil 600. Kesi iko mezani FIFA

    FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players. The directive from the world football governing body came after the club refused to pay Tanzanian goalkeeper Ramadhani Kabwili who left in April. The player joined Rayon from...
  17. Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
  18. T

    Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  19. Mwalimu Julius Nyerere | Mgogoro Wa Kikabila Rwanda, For Crisis in the Great Lakes 1996

    Mwalimu Julius Nyerere | Akizungumza mjini New York, katika mkutano wa meza duara ulioandaliwa na Taasisi ya Amani ya Kimataifa, Nyerere alisema kuwa Warundi wa kabila la Rwanda, wanaoitwa ‘Banyamulenge’, ni watu wanaostahili haki zao za binadamu na za kiraia kama raia wa Zaire. Aliongeza kuwa...
  20. 85% ya Mashabiki wa Yanga SC walioenda Kigali Rwanda wamelala katika Mabasi yao

    Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…