ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

    Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini, na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki. Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

    Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

    Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Naibu Waziri na Madiwani Mbinga wamshukuru Rais Samia kwa kuimba na kupiga magoti

    Salam Wakuu, Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye katoa hela, etc. Bila wananchi kulipa kodi zingtoka wapi? Pia soma...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

    Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara Mlale Unono 😀🌹
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ruvuma hatuandamani

    Ruvuma tuandamane ili tupate nn? 1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani. 2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote. 3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, ameongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoni humo

    Septemba 22, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, aliongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoani Ruvuma. Kikao hiki kilifanyika kama sehemu ya maandalizi ya kuimarisha sekta ya utalii, hasa wakati huu ambapo mkoa unasherehekea Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Kitaifa...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

    Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Tamasha la tatu la kimataifa la utamaduni - Ruvuma Septemba 20 - 23 /2024. Watanzania wote jicho lipo Ruvuma

    Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni litakalofanyika mkoani Ruvuma kutoka Septemba 20 hadi 23, 2024, linaonyesha umuhimu wa kuenzi tamaduni za Tanzania na kuwavutia watu kutoka ndani na nje ya nchi. Watanzania wote wanahimizwa kushiriki na kujifunza kuhusu utajiri wa tamaduni za Ruvuma na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku Ruvuma

    Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
  17. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga asema Tsh. Bilioni 4.6 zitapeleka umeme migodini Mkoani Ruvuma

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kila kitu kifanyike Arusha, semina na vikao serikalini, pia vifanyikie Lindi, Mtwara, Ruvuma, zimesahaulika

    Nashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa hiyo. Hii itasaidia kuiunganisha nchi kiuzalendo na mzunguko wa uchumi. Mambo ya kupeleka kila...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Malawi na Msumbiji waingia makubaliano mto Ruvuma

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya Usimamizi na Uendelezaji wa Rasilimali za maji za Mto Ruvuma kwa nchi za Tanzania, Malawi na Msumbiji...
Back
Top Bottom