ruvu

The Ruvu weaver (Ploceus holoxanthus) is a species of bird in the family Ploceidae. It is endemic to eastern Tanzania.
Initially described as a distinct species by Gustav Hartlaub in 1891, it was synonymized with the eastern golden weaver (P. subaureus) by the majority of later authorities. However, critical morphological analysis in 2021 confirmed it as being a distinct species. It can be generally distinguished from P. subaureus by the darker brown eye of the male and the lighter lower mandible of the female.It has a very restricted distribution in Tanzania, being only found along the Ruvu, Wami, and Rufiji river basins. Several colonies are known from the vicinity of Morogoro.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    DAWASA, Bonde Wami Ruvu kazini kutekeleza agizo la waziri Aweso

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam. Hatua hiyo ni mojawapo ya mipango mikakati ya Mamlaka ya kuongeza uzalishaji maji chini ya ardhi kwa lengo...
  2. The Palm Beach

    Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  3. Mafyangula

    Wami na Ruvu waendelea na doria mtoni kuhakikisha maji yanapatikana Dar

    Hizo doria zinafanyika kipindi cha shida tu! Yani DAWASA utendaji wenu unatia mashaka kabisa ================== Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea na doria ya kukagua vyanzo vyake vya maji katika mito yote inayotiririsha maji yake Mto Ruvu ikiwa ni kuendeleza mipango ya kuhakikisha...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  5. Determinantor

    TANROADS Pwani huyu Mkandarasi wa hili daraja hapa Ruvu mmepataje? Tumekaa foleni kuanzia saa saba usiku hadi sasa

    Huyu mkandarasi hadi uwezo, pesa ni ya World bank, why hamjengi mkamaliza? Kuna malori na magari madogo kama buku na kidogo. Kuanzia Visiga hadi ruvu..... Huu usumbufu usio na maana. WORLD BANK njooni muone huyu mkandarasi
  6. N

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au 2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
  7. dalalitz

    For sale: 4,833 sqm, lovely plot, $5.8 million on Ruvu street, Masaki

    This is a PRIVATELY OWNED Property.
  8. upupu255

    DAWASA yakanusha taarifa za upungufu wa Maji Mto Ruvu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
  9. Roving Journalist

    Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu yasafisha Mto Ngerengere kuondoa matope na uchafu

    Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
  10. Hyrax

    Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  11. Pfizer

    Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  12. maroon7

    Foleni ya kutisha Kibaha - Ruvu muda huu

    Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu. Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
  13. Optimist_Tz

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana. Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje? Kuna...
  14. Suley2019

    Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
  15. BARD AI

    DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  16. Kurunzi

    Ruvu: Kuna foleni Kubwa Barabara ya Morogoro

    Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
  17. Stuxnet

    Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

    Magari hayatembei both ways, je kuna sababishwa na nini? Ni zaidi ya nusu saa sasa. Tarehe ni 09/12/23
  18. Bounty hunter

    Kwenda ruvu kuripoti

    Habari wapendwa Ivi wanaoripoti ruvu jkt tarehe 27 kuna utaratibu gani nauliza?
  19. Intelligence Justice

    Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  20. Mama Edina

    Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

    Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo. Katka picha
Back
Top Bottom