ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  2. M

    Rais Ruto afuata nyayo za hayati Magufuli

  3. Gachagua: Hatutazungumza na Raila hadi amtambue Ruto kuwa ni Rais

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa masharti hayo kwa Kiongozi wa Azimio La Umoja One Kenya, Raila Odinga na kusisitiza kuwa anatakiwa akiri hadharani kuwa anamtambua William Ruto kuwa ndiye Rais wa Kenya. Amesema “Unazungumzaje na mtu ambaye hatambui utawala wako? Yeye ni nani hapa...
  4. B

    Ruto kajifunza Maridhiano the hard way, nasi hatuna budi

    Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote: Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika. Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu sugu kuachiwa lakini si wanaoshikiliwa kisiasa? Bado tungependa tunayosema kucha kutwa yaweze...
  5. Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

  6. Rais Ruto amuomba Raila Odinga kusitisha Maandamano, aahidi kuwalinda Wanahabari

    Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC). Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
  7. Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

    Unaambiwa wanaume wa Kenya wanapigana vikumbo kusaka penzi la Charlene Ruto binti wa Rais Ruto. Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
  8. Magufulification of Kenya Ruto ana-challange mfumo?

    Kama mchambuzi wa siasa ndani ya Afrika mashariki unaweza kutoa opinion gani kwa yale yanaoendelea kutokea nchini Kenya? Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye wimbi la muda mrefu la ufisadi na uhuni uliokuwa umekithiri nchini Kenya? Je, Ruto ameamua...
  9. B

    Ruto asimpige Odinga atachoka tu

    Kwa akili ya haraka haraka yes Maandamano yanarudisha nyuma nchi lakini RAILA ODINGA ni tatizo kwa kenya. Yes kuna mambo aliyapigania hapo nyuma wakapata katiba mpya lakini kwa wakati huu alitakiwa kumuunga mkono RUTO ili aiongoze Kenya kwa amani. ODINGA anafanya fujo ili akipigwa aitwe...
  10. Kenya: Rais Ruto achukua mikopo 8 mipya ndani ya miezi minne

    Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022. Hazina imeeleza kuwa mikopo imesainiwa kati ya Serikali ya Kenya, Wadau wa biashara na kati ya Nchi na Nchi...
  11. B

    Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  12. Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  13. M

    Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

    Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe. Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
  14. Rais Ruto nakushauri kuwa kama Hayati Magufuli

    Toa kipondo cha nguvu kwa hao wenye tamaa ya uongozi. Wengine wafuatwe private home tandika bakora kama maalim seif alivoipata. Nidhamu itakuwepo. Badala ya kuacha watu wafanye kzi wao ni kuleta fujo
  15. Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

    Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu. Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
  16. Odinga amwambia Ruto 'Sitishiki na siwezi kusitisha Maandamano

    Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali. #Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
  17. Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.” Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...
  18. Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  19. Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  20. Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…