ruti

Rüti (sometimes written as Rüti ZH in order to distinguish it from other "Rütis") is a Swiss town and a municipality in the district of Hinwil in the canton of Zürich. The river Jona flows through the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali ipongezwe kwa kuongeza Mabasi Mwendokasi ruti ya Kimara tena yasiyo na rangi ya kijani maana Ruti hiyo haipendezwi na rangi ya kijani

    Hamjambo wote! 1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi. 2. Mabasi ni mapya na mazuri. 3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata. 4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
  2. Kelela

    Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Habari zenu. Ni ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kwa mwaka huu 2026 kwa kutokea Dar es Salaam. Naomba kujua, Basi za Kupanda. Nauli kiasi gani? Shughuli kuu za kiuchumi za Butiama ni zipi?
  3. Roving Journalist

    Daladala zinazokatisha Ruti, zikikamatwa kuanza kufungwa kifaa cha VTS ili kufuatiliwa

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
  4. Emilio Mzena

    BM wamefuta utawala wa mabasi ya Kilimanjaro kwa ruti ya Dar - Arusha

    Zamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya. Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika mwisho. Kampuni kama BM anatoa mabasi mengi kwa siku, naona utawala wa Mzee Sawaya unaenda mwisho huko...
  5. The redemeer

    Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  6. JanguKamaJangu

    Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. Chanzo: Azam TV Pia soma: ~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
  7. Roving Journalist

    LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  8. Mwanongwa

    KERO LATRA tumsaidie hili la Daladala kukatisha ruti Mbeya

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa kuishia Mwanjelwa badala ya kufika Stand Kuu. Ukiachana na hizo daladala za Nsalaga Kuna hizi za kutoka...
  9. BigTall

    KERO Serikali imepandisha nauli kisha Daladala za Kawe - Buza zinakatisha ruti, hii inaumiza sana

    Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia. Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es Salaam) hasa nyakati za jioni zimekuwa na kawaida ya kutokamilisha ‘ruti’, zinaishia Buguruni kisha...
  10. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  11. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  12. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  13. D

    Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tuliowahi kupita ruti ya Tarime - Mugumu - Serengeti - Arusha tukutane hapa

    Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure. Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara. Hii ruti haifai kwa mama mjamzito...
  15. BigTall

    KERO Responded Serikali isikie kilio cha Barabara ya Goba Mpakani, ruti zinabadilishwa, wanapandisha nauli kiholela

    Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida. Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe 5 Mei, 2023 eti imesababisha tubadilishiwe ruti na nauli ipande, je hii ni sawa? Mwezi uliopita...
  16. M

    LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

    Irudisheni / iwekeni upesi kwani zamani wakati wa Mzee wetu Mwaibula ilikuwepo na kwa Taarifa yenu sasa hiyo Ruti in Watu wengi na itawalipa wenye DalaDala. Nami niwajibu kuwa mbona hata Njia (Ruti) ya Kariakoo (Gerezani) DalaDala za Kawe - Gerezani (Kariakoo) zipo pamoja na kwamba hata Mabasi...
Back
Top Bottom