Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.
Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi...