rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mchujo wa ndani ya CCM uchaguzi huwa mkali pesa na Rushwa huwa si kigezo ndio maana Lowassa na pesa zake alishindwa kupita

    Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!

    Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  5. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Naweza Kudumu Kwenye Siasa Bila Rushwa? Maadili Yangu Yananizuia au Yatanisaidia?

    Ndugu zangu, Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Separatus Fella awaasa Watumishi wa Umma kuhusu Ulevi na Rushwa

    Separatus Fella Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wapya 80 ambao wameajiriwa hivi karibuni ikiwa ni Mpango unaoandaliwa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu katika kuwaandaa waajiriwa wapya kuendana na Misingi ya Maadili ya Utendaji kazi katika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa Utumishi waweke hadharani matokeo ya Oral Kama ya written kwa namba za wasailiwa ili kuepusha mianya ya Rushwa na Janja janja

    Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Hii ndio mbinu wanazotumia wagombea wanafasi mbalimbali kutoa rushwa kwa wapiga kura

    Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao. Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu panapo majaliwa, kuelekea katika chaguzi zote rushwa inatamba sana, wengi hutoa rushwa kwa mifumo nã...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya polisi wanakusanya mapato kwa nguvu kwenye malori ya mizigo kwa kulipisha faini za mchongo

    Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka. Gari bovu linawezaje...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mbona mlikaa kimya sakata la rushwa ya Qatar kwa maafisa wa E.U au kwa sababu haikuwa Israel au U.S.A

    Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU. Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU...
  11. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  12. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu watu husema wakiwahonga fedha zao chukueni au kuleni ila msiwachague je ni sahihi?

    Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo anajua kweli kwamba waliokula fedha zake hawakumchagua, je anaweza kuamini rahisi kiasi hicho. Mimi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini kifanyike kudhibiti pesa chafu na rushwa kiujumla kwenye chaguzi kuu za nchi nyingi za Afrika?

    Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng. Kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume wanakumbana na rushwa ya ngono?

    Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai sana? au rushwa ya ngono ni changamoto kwa wanaume kazini? Wanaume tuambieni.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Afisa Mtendaji aliyeomba rushwa ya Milioni 1, ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 500,000

    AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.* Shauri hili liliendeshwa na mawakili wa Serikali Waandamizi Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunataka Rais wa 2025 achukie Rushwa na Ufisadi kwa moyo wake wote

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

    Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha hukoo "CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima" "Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
Back
Top Bottom