rostam aziz

  1. McLaren

    At a time when "nobody" reads a newspaper, why would Rostam Aziz buy a newspaper company? Whats going on?

    Maybe I should ask this here. When was the last time you bought a newspaper. An actual hard copy. Read Also: Tanzanian Billionaire Rostam Aziz Set to Become Majority Shareholder of Nation Media Group Let’s be honest. The media business isn’t exactly booming. If anything, it’s been on a steady...
  2. O

    Tanzanian Billionaire Rostam Aziz Set to Become Majority Shareholder of Nation Media Group

    Tanzanian billionaire Rostam Aziz is poised to become the majority shareholder of Nation Media Group (NMG) following a deal to acquire a controlling stake previously held by the Aga Khan Fund for Economic Development. The transaction will see Aziz’s investment firm, Taarifa Limited, acquire...
  3. JanguKamaJangu

    Rostam Aziz: Wakenya lazima mbadilike, someni alama za nyakati, Kenya sio mkubwa kuliko wenzake wote

    Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG). https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc ============================== Pia soma ~...
  4. tpaul

    Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

    Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo...
  5. M

    Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

    Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa Ltd, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi. Azizi ana uwekezaji mkubwa...
  6. robinson crusoe

    Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  7. Just Pray

    Tajiri Rostam Aziz akutana na Rais wa Zambia kikazi

    Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz akiwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema wakati walipokutana katika Ikulu ya Lusaka baada ya mazungumzo ya kikazi ikiwa ni takriban miaka miwili impita tangu wawili hao wakutane mara ya kwanza. Bilionea Rostam aliyeanza kuwekeza...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Rais wa TCCIA Vicent Minja: Amtetea Rostam Aziz Kwenye Ununuzi wa Hisa za TANCOAL, "ni jambo la kawaida duniani"

    Rostam anaonekana kuzidi kuvimba kichwa, ila cha ajabu miaka yote mkuwa kimya, iweje leo kelele zikizidi ndipo mtoke mkimbilie kumtetea? Hii press ionekani zaidi kama jitihada za kumsafisha huyu mwanamtandao mwenye nguvu serikalini? Aibu iliyoje!” ================== Rais wa Chemba ya...
  9. Chivundu

    Mahakama nchini Kenya imekataa kuondoa amri ya serikali kufungia kiwanda cha Rostam Aziz

    Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103). Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
  10. Ryan Holiday

    Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

    1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta. 2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote...
  11. DuaZaMama

    Rostam Aziz: Rekodi zinaonesha Rais Samia amefanya maendeleo makubwa

    “Uongozi wa Rais Samia unajieleza wazi kwa mambo aliyofanya na yanaonekana, amefanya maendeleo ya wazi na Uchumi umekuwa kwa kasi na Vitu vinaonekana” Mfanyabiashara Rostam Aziz katika Mahojiano na Mtangazaji Mkongwe Tido Mhando.
  12. B

    Maswali konki kwa Rostam Aziz baada ya interview yake hapo UTV

    Mimi naona kama Mzee alienda UTV kujisafisha lakini Tido Mhando angeuliza maswali technical kama haya, sidhani kama Mzee Aziz angeendelea na interview hiyo; 1. Mheshimiwa Rostam Aziz, umedai kuwa wawekezaji wa ndani hawapewi nafasi kwenye sekta ya madini kwa sababu hawana "creditworthiness"...
  13. J

    Uvamizi JF una uhusiano na Press ya Rostam Aziz?

    Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni. Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo. Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz alionekana akitolea maelezo baadhi ya mambo anayotajwa kuhusika nayo kwenye biashara zake na pia kundi...
  14. Common Folk

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  15. Elius W Ndabila

    Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta. Amesema mtandao...
  16. Mwande na Mndewa

    Tajiri Rostam kakatazwa asiongee. Je, Polepole anaelekea kushinda hili game!?

    Tajiri Rosti akiwa na madaktari wawili akitaka kuongea ghafla mahojiano yakaota mbawa,nini Maana yake!!?
  17. K

    Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!

    Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu anachofanya ni ufisadi. Tatizo lake ni kuiingiza siasa kujinufaisha zaidi kibiashara kitu ambacho...
  18. Yoda

    Inawezekana siku moja Rostam Aziz akagombea urais wa JMT?

    Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii. Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania...
  19. misasa

    Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
  20. Mr Why

    Yote kwa yote Don Rostam Aziz anajua kuitafuta pesa maana kila penye neema yumo

    Yote kwa yote The Don Rostam Aziz anajua kuitafuta pesa, kila penye neema yumo, rai yangu azalishe ajira nyingi kwa vijana wa Tanzania Pamoja na yote yanayoendelea mitandaoni mwisho Don Rostam Aziz anabaki kuwa mjanja wa kutafuta Pesa Kwasababu kila penye neema yupo hii inaonesha dhahiri kuwa...
Back
Top Bottom