@rosemuhandoofficial5676
3 hours ago
Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili kubwa japo hatuko huko bungeni kwenu ,Sasa hapo ndo umefanya nini kumbuka huyo ni Rais na unapojaribu...