rose

A rose is either a woody perennial flowering plant of the genus Rosa (), in the family Rosaceae (), or the flower it bears. There are over three hundred species and tens of thousands of cultivars. They form a group of plants that can be erect shrubs, climbing, or trailing, with stems that are often armed with sharp prickles. Their flowers vary in size and shape and are usually large and showy, in colours ranging from white through yellows and reds. Most species are native to Asia, with smaller numbers native to Europe, North America, and northwestern Africa. Species, cultivars and hybrids are all widely grown for their beauty and often are fragrant. Roses have acquired cultural significance in many societies. Rose plants range in size from compact, miniature roses, to climbers that can reach seven meters in height. Different species hybridize easily, and this has been used in the development of the wide range of garden roses.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga akabidhi Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko

    MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

    Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa. Haki zetu wenyewe nazo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

    Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa. Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson. Baada ya...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

    Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
Back
Top Bottom