rorya

Rorya District is a district in Mara Region, United Republic of Tanzania. The district capital is the village of Ingri Juu, while the largest town is Shirati. The district was created in 2007 from a part of Tarime District. It is bordered by Tarime District to the east, Butiama District to the south, Lake Victoria to the west, and the Republic of Kenya to the north. The majority of inhabitants are from the Luo tribe. Other ethnic group is Kurya. Kine, Simbiti,Sweta and Hacha are sub-groups within Kurya ethnic group.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Rorya District was 265,241.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Rorya wamemkataa Jaffari Chege

    Mbunge wa sasa wa Rorya ndugu Jaffari Chege yuko kwenye wakati mgumu kisiasa kutokana na wananchi wengi wa Jimbo hilo kumkataa hadharani,hii inajidhihirisha wakati huu anapozunguka maeneo mbalimbali humo jimboni kwenye mikutano ya hadhara. Uchunguzi unaonyesha Jaffari atakuwa miongoni mwa...
  2. Wananchi waiomba Serikali kuwachukulia hatua wanaohusika na mauaji ya Wananchi katika eneo la Mgodi wa North Mara

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo la Mgodi wa North Mara ambapo wananchi hao wanatuhumiwa kuvamia maeneo ya uchimbaji katika mgodi...
  3. Mbunge wa Rorya, Jafari Chege Awaka Bungeni Bei ya Dagaa Kwenye Mialo

    MBUNGE WA RORYA MH. JAFARI WAMBURA CHEGE AWAKA NA BEI YA DAGAA KWENYE MIALO 👍Leo akichangia Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Mbunge huyo wa Rorya Mh JWC atoa Ushauri kuhusu Bei ya Dagaa mwaroni walipo walaji wa Chini. 👍Mh Chege Amesema kutokana na walanguzi wa Dagaa Kutoka Nje ya Nchi,Kufika hadi...
  4. K

    Ezekiel Wenje tunakuhitaji jimbo la Rorya jimbo liko wazi 2025

    Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha...
  5. O

    DOKEZO Mwenyekiti wa CCM(W) Rorya Ongujo Wakibara na DC Chipola Wameandaa Genge kuwazomea Viongozi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu...
  6. K

    Wana Rorya tumkatae Chege kama barabara ya Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami haitakamilika

    Moja ya ahadi ya Mhe. Chege tulipomchagua alituahidi kuwa katika miaka yake mitano atahakikisha barabara hii inakamilika kwa asilimia mia moja. Ujenzi wa barabara ulianza mwaka 2005 na mpaka sasa umejengwa kwa kilomita 14 tu. Maeneo mengine ya nchi hii kila kukicha barabara za lami...
  7. Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  8. Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  9. Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  10. Wilaya ya Rorya yaanzisha Program ya kufuata Wananchi, yapewa jina la 'POPOTE TUNAKUFIKIA'

    Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...
  11. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  12. O

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kupitia kampuni ya Ongujo Investment

    Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha. Kampuni ya Ongujo Invesment inayomilikiwa na Ndg. Ongujo Wakibara (OWAN) ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya imepewa zabuni ya...
  13. Makambi ya Vijana wa CCM Wilaya ya Rorya Kata ya Kirogo

    YALIYOJIRI KIKAO CHA MBUNGE CHEGE NA VIJANA WA MAKAMBI WA CCM WILAYA YA RORYA KATA YA KIROGO - Mbunge katoa Ng’ombe kwa ajili ya shughuli ya vijana. - Mbunge kachangia laki 5 kwa ajili ya kuunda ushirika mpya kwa vijana hawa na mchango wa nauli. - Mbunge kawahamasisha vijana kuunda KIKUNDI...
  14. Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

    Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani . Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza...
  15. Mkuu wa Wilaya ya Rorya hii si sawa

    Hiki anachofanya DC wa Rorya, Mh. mchopanga je ni sahihi?
  16. Mbunge wa Rorya awaasa Maafisa Uvuvi kuacha kuchukua mitumbwi ya wavuvi

    "Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye hajalipa Shilingi 5,000 anahangaika kuvua apate Shilingi 5,000 akulipe hatuoni sababu ya kukamata chombo...
  17. Mbunge Jafari Chege Wambura aendelea na ziara Jimboni Rorya

    "Naomba Mbunge utusaidie kujenga nyumba za Walimu, Walimu wako tunakaa kwenye nyumba ambazo zimejengwa mwaka 1979, nyumba zetu hazina siri, tunashindwa kuwa na faragha na familia zetu, naomba Mheshimiwa Mbunge ulione hilo" - Mwalimu, Kata ya Mirare Jimbo la Rorya "Lakini pia upande wa wanafunzi...
  18. Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  19. Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  20. K

    DC Chikoka ashiriki katika kukabidhi madawati 250 kwa shule za Wilaya ya Rorya

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameshiriki kukabidhi madawati 50 kati ya Madawati 250 ambayo yametolewa na Bank ya NMB kwa shule 5 zilizopo wilayani hupo kwa lengo la kusaidia kupunguza changamoto ya watoto kukaa chini na kuboresha ufaulu wao. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, DC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…