rorya

Rorya District is a district in Mara Region, United Republic of Tanzania. The district capital is the village of Ingri Juu, while the largest town is Shirati. The district was created in 2007 from a part of Tarime District. It is bordered by Tarime District to the east, Butiama District to the south, Lake Victoria to the west, and the Republic of Kenya to the north. The majority of inhabitants are from the Luo tribe. Other ethnic group is Kurya. Kine, Simbiti,Sweta and Hacha are sub-groups within Kurya ethnic group.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Rorya District was 265,241.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    Mkuu wa Wilaya Rorya asema wana Rorya tuchangamkie fursa kupitia Ziwa Victoria

    Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
  2. WrestlerRSF254

    DOKEZO Wana Rorya tunamuomba, Rais Samia aturudishie Utegi Farm

    Habari wazalendo wenzangu! Hope mu wazima wa afya! Katika halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kuna eneo lilokuwa likitumika na Utegi Dairy kipindi cha wakoloni sijui. Nimezaliwa miaka ya 80, kiwanda kile kilikuwa hakitumiki mifugo ila walikwepo wachache, walikamuwa maziwa na kwenda kuuza Tarime na...
  3. B

    CCM Momba Tunduma waandamana kuadhimisha kuzaliwa kwake

    02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara. Baada ya...
  4. Sildenafil Citrate

    Rorya: Mme amkata Mkewe titi na mkono kisa wivu wa kimapenzi

    Mkazi wa kijji cha Isango wilaya ya Rorya, Maria Marwa (36) amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mara baada ya kudaiwa kukatwa mkono na titi na mumewe. Mwanamke huyo alipata majeraha hayo baada ya kuibuka ugomvi baina yake na mume wake huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Rorya: Madiwani wadaiwa kupanga kumteka M/kiti wa Halmashauri wakigombea eneo la kujenga Kituo cha Afya. RC Hapi atishia kuvunja Baraza la Madiwani

    Moja kwa moja kwenye mada. Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao. Kiini cha mgogoro ni kutokana na kutokubaliana sehemu ambapo panatakiwa kujengwa Kituo cha Afya. Hatua hiyo...
  6. A

    Rorya: Watu watano wafariki dunia baada ya mtumbwi kuzama

    Wapendwa Habari za uzima? Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya kata ya kowaki mtaa wa Labuor kwamba watu watano(5) wamesombwa na maji. Kati ya hao wa 5, 3 ni wana wa kike( wanawake) na wawili(2)ni watoto. Walikua wanavuka kutoka upande mmoja wa mto mori kwenda kwa ibada siku...
  7. K

    Rais tunakuomba uturudishie shamba letu la Utegi wilayani Rorya

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee. Mhe. Rais uongozi wako umeturidhisha sisi Wananchi japo ni kwa muda mfupi. Mhe. Rais historia ya shamba hili ni ndefu lakini kwa kifupi naomba nitoe historia yake. Mhe Rais katika miaka ya 1970 Serikali kwa nia nzuri...
  8. Suley2019

    Rorya: Mwili wa aliyekaa mochwari miezi nane wazikwa

    Hatimaye mwili wa Mzee Wilson Ogeta (89) umezikwa kijijini Nyambogo baada ya kukaa mochwari takriban miezi minane bila kuzikwa, kufuatia mgogoro wa ardhi kati ya familia ya mzee huyo na mtu mmoja anayedaiwa kununua eneo la makazi ya mzee huyo. Mzee Wilson Ogeta alifariki dunia Januari 10 mwaka...
  9. mshale21

    Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
  10. Superbug

    Huyo mtoto wa ajabu wa Rorya, Yunis Ogot anaetangazwa clouds muda huu ni ku divert attention

    Msitufanye watoto wadogo eti kakaa tumboni miaka mitatu na anatibu kwa kutumia Sala na maji. ==== ‘Mrithi’ Babu wa Loliondo aibukia Rorya Rorya. Wiki chache baada ya kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo, mtoto wa miaka miwili na miezi tisa, Yunis Ogot ameibuka...
  11. Stephano Mgendanyi

    Historia mageuzi Sekta ya Maji yaandikwa Shilati, Rorya

    HISTORIA MAGEUZI SEKTA YA MAJI YAANDIKWA SHILATI, RORYA WAZIRI WA MAJI Jumaa Aweso amezindua mradi wa Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Shirati Wilayani Rorya. Mradi huu ni mafanikio ya kihistoria kwa wananchi wa Shirati ikiwa ni utatuzi wa changamoto kubwa ya Maji iliowakabili kwa muda mrefu...
  12. Analogia Malenga

    Rorya: Uhaba wa vyumba vya huduma wafanya wagonjwa kukosa usiri katika zahanati ya kijiji

    Zahanati ya kijiji cha Nyanchabakenye kata ya Kisumwa wilaya ya Rorya, inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba vya huduma jambo ambalo linasababisha kutokuwepo kwa usiri kwa wagonjwa, wananchi wameomba wadau wa maendeleo kwa kushirikiana na serikali kupanua majengo hayo.
  13. C

    Rais Samia, tunaomba Wakuu wa Wilaya wa Tarime na Rorya watoke vyombo vya ulinzi na usalama

    Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani) Naomba ubadilishe mkuu wa...
  14. K

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
Back
Top Bottom