Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao.
Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi.
Makaisari wa Roma walikuwa...
Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa.
NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
Wakati wa kukopa mnaliita
DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha)
Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!!
Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama, Mradi Wa Maji Kaleta Mama, Barabara Mama, Hadi Derby Fedha Za Goli La Mama.
Kwenye marejesho...
"Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao.
Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi kuvi-point madhaifu yao na kukiri havifai!!
Badala yake kama wana interest bado na siasa, waanzishe...
Roma, kasaliti chama Nay wa mitego sasa hivi anasifia ngono.
Haya Leo nimewaletea kazi mpya ya mrithi wa Roma tu. MpokeeTanganyika gusa ilo neno Tanganyika
Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha.
Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya
Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa...
Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko inathibitisha hili?
Leo nitachambua ushahidi wa kihistoria, nukuu kutoka kwa wasomi wa Kiislamu, na...
Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na...
Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.
"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!
Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili
Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka
Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea...
Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….
Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
Wakuu,
Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea
==============================================
"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.