roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Kijiwe cha bodaboda Vingunguti mataa hakina bodaboda kijana, wote ni over 40. Jamaa wana roho mbaya sana

    Bodaboda wa Vingunguti mataa kila unayemtazama sura ni Mzee. Ukihoji kwanini hakuna bodaboda kijana utaambiwa wale jamaa hawataki mgeni kijiweni kwao. Ukienda pale mgeni utafanyiwa vitimbwi vyote, watachanga pesa wakuitie polisi. Wakikushindwa kwa njia za kawaida watakuroga ukufe haraka. Wale...
  2. masai dada

    Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

    Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili Maana wanakuaga makatili kwelikweli Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga Fanya research fupi Kama ukiwa...
  3. Zee la madawa

    Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  4. mcTobby

    Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  5. M

    Tanzania sijui tulimkosea nini Mungu, kutupa viongozi wenye roho mbaya isiyothamini uhai wa watu?

    Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu 29...
  6. Mad Max

    Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  7. m2mixh

    Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

    *Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba...
  8. BIG BROTHER ALEX

    Mbwana Ally Sammata, nimekudharau na sito kuheshimu, una roho mbaya na ni mnafiki we jamaaa, sijapata kuona

    Sina Imani jamaa kama ali kosa usingizi na kuwa na hofu kwa kilicho endelea baada ya internet kuzimwa, Sina Imani kama jamaa WALAU aliwaulizia washikaji wa kitaaa chake na wabongo waliopigana kumshangilia na kusapport kazi zake mpaka kufika hapo. Kuna wale watoto wa academy ya mpira waliopigwa...
  9. Chibike

    Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  10. litwangilo

    Hakuna watu wenye roho mbaya kama wanaotafuta vyeo makazini!

    Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅 Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa. Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya...
  11. Stability

    Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  12. ngara23

    Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  13. M

    Watu weusi tuna roho mbaya sana. Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi

    1.Ni watu weusi ndio tulikuwa tunauza ndugu zetu utumwani,siyo waarabu. Ni watu weusi ndio tunauuana hovyo hovyo kwenye bara hili la Africa. Ndio tunaoongoza kwa uvivu na ulaghai . Ndio tunaona ni Bora kuuza urith wetu kwa wengine, Hatuna roho ya kutosheka kwa chochote,tunapobarikiwa...
  14. The redemeer

    Kwanini baadhi ya wanawake huwa katili na wenye roho mbaya?

    Swali lako linaeleza hali unayoiona kwenye jamii, lakini ili kulijibu kwa haki na kwa undani, hebu tuchambue kiukweli: ✅ 1. Si wanawake wote Kwanza, kumbuka si wanawake wote wana roho mbaya au ukatili. Kuna wanaume wenye roho mbaya pia. Tabia mbaya haibagui jinsia, bali: ✅ 2. Chanzo ni malezi...
  15. Teslarati

    Tuambizane ukweli, hivi ulishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki zisizoeleweka?

    Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka. Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana) Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari...
  16. S

    Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  18. S

    Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Habari zenu wauu lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa...
  19. D

    Tulizani ni binadamu wenzetu kumbe baadhi yao ni wanyama kiasi hiki? Sakata la Gwajima limefunua roho mbaya za watu

    Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji! Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa! Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila nchi ina sheria na mahakama! Sasa unapoona mwanamke anasimama bungeni anasema ALIYETEKWA AKOME AKOME...
  20. and 998 others

    Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Back
Top Bottom