Kwa mfano, unasafiri unatoka Dar unaenda Mbeya kwa gari binafsi.
Ukifika pale Mbezi Mwisho, utakuta madalali wa abiria wanaoenda mikoani. Ukisema unaenda Mbeya wanakuletea abiria wa Moro, Mbeya, Iringa, nk mnanegotiate bei na yeye unampa chake safari inaanza.
Nawaza, hii risk ya kupakiza...