Naomba kueleweshwa kuhusu risiti HII ya EFD

RealEstate Agent

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
244
321
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT

Ina maana hapo TOTAL TAX = 0

msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?

Screenshot 2021-07-31 065004.png
 
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT

Ina maana hapo TOTAL TAX = 0

msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?

View attachment 1874844

Hakuna makato ya VAT kwa sababu uyo taxpayer hajasajiliwa na VAT ndomana. Angalia hapo kwenyew risiti kuna VRN- utaona inasomeka “Not registered”
 
okay ahsante kwa kunifungua macho..nisifa zipi zinamfanya mfanyabiashara asiwe na VRN yaani halipi vat?
 
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT

Ina maana hapo TOTAL TAX = 0

msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?

View attachment 1874844
Hilo duka halina vat.mauzo yao kwa mwaka hayajafika milioni mia.hajasajiliwa vat.mashine yake haijasetiwa na vat.chukua simu huko
Wewe nawe kisimu tu cha 48 unakomaa na risitiii.
 
lengo sio kukomaa risiti.. lengo nataka kueleweshwa masuala ya VAT kibiashara
Kama wewe unajua vizuri..ila wengine hatufahamu masuala ya VAT

sentensi yako ya mwisho sio nzuri... utafanya watu wasiwe wanauliza masuala muhimu kama haya
 
okay ahsante kwa kunifungua macho..nisifa zipi zinamfanya mfanyabiashara asiwe na VRN yaani halipi vat?

Ukisoma sheria ya VAT S.28 imeelezea vigezo vya kusajiliwa na VAT
Uwe na mauzo ya 100mil kwa mwaka 1 au 50mil kwa miezi 6

S.29 inanataka mtu anayefanya professional services kama hawa Advocates, law firms, tax firms nk kusajiliwa na VAT hata kama hajafika vigezo vya s28 hapo juu.

Kuna baadhi ya bidhaa zilizosamehewa na VAT (exempted goods) mfano pembejeo, madawa, sola, vifaa vya kilimo, mafuta kama petrol, disel nk.

NB: anaelipa VAT ni mnunuzi wa mwisho (final consumer). Ndomana serikali inatoa elim ya kudai risiti kwasababu kama ukinunua bidhaaa mfano TV hawa wauzaj almost wote wapo na VAT Usipodai risiti ile VAT uliyolipia anakula muuzaji na sio serikali.
 
shkrani kwa elimu
 
Hilo duka halina vat.mauzo yao kwa mwaka hayajafika milioni mia.hajasajiliwa vat.mashine yake haijasetiwa na vat.chukua simu huko
Wewe nawe kisimu tu cha 48 unakomaa na risitiii.

Risiti ni halali yake kisheria, kumbuka simu kama mbovu kama hana risit hawezi kurudisha wala kudai so risiti itampa nguvu hata ya kwenda polis kama muuzaji amekataa kubadilisha. Mimi nashuhudia watu wengi wanalia kanunua tv kumbe mbovu kurudisha wanakataaa hana risiti
 
lengo sio kukomaa risiti.. lengo nataka kueleweshwa masuala ya VAT kibiashara
Kama wewe unajua vizuri..ila wengine hatufahamu masuala ya VAT

sentensi yako ya mwisho sio nzuri... utafanya watu wasiwe wanauliza masuala muhimu kama haya
Umejibu kistaarabu sana.
Umeonesha mfano wa emotional maturity
Hasa hapo ulipomwambia "Sentensi yako yamwisho sio nzuri"
 
Back
Top Bottom