risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Wamekuja Gen Z Wametikisa misingi, Risasi haiwapunguzi, inawaongeza Mabomu ni mbolea yao Wanahitaji kusikilizwa siyo kuhutubiwa

    Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI 1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini akamtunishia msuli kiongozi na akabaki salama. Maskini wakafa na tai shingoni lakini hawatekwi. 2...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Stephano Musomba: Wale Waliolenga Risasi ni Kina Hao, Mwanadamu sio Nguruwe Kwamba Unamuua Ili Upate Kitoweo

    "Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na amani katika nchi yetu" "Wale waliolenga risasi ni nani hao? Waliouawa sisi ni ndugu zao, tunalia...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Alipigwa risasi akapona, akatafutwa na kumalizwa kinyama

    Anaandika Twaha Mwaipaya... "Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke wake mwenye unaudited wa miezi 8 na tunajipanga Make wake asafirishwe aende kusubiri kujifungua...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni karamu ya risasi?

    Kwamba zilikuwepo silaha mpya na wapigaji waliopewa kuzijaribu kwenye miili ya watu? Je ulikuwa ufundi, umahiri ama mashindano ya kulenga shabaha? Je ilikuwa ni kamari ya kubashiri nani ataketekeza roho nyingi kwa wakati mmoja? Ama je kulikuwa na silaha zinzokaribia kuisha muda wake wa...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  10. JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba asimulia mtoto wake alivyouliwa 'Mwanangu alipigwa risasi akafariki akielekea dukani'

    Familia za watu waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wanaendelea shughuli za kuandaa mazishi ya wapendwa wao huku wengine nao wakiendelea kuomboleza baada ya shughuli hiyo kukamilika. ripoti zinasema kuwa watu wengi walipoteza maisha...
  12. JamiiForums Tanzania Kama mnadai kwamba waandamanaji walianza wizi na uharibifu wa mali ndio wakapigwa risasi basi mafisadi wote nao tuwapige risasi hadi kwao

    Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao. Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania

    Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Wamemtangaza..watamuapisha Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao... Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Serikali watu hawatavumilia njaa majumbani kwa vitisho vya risasi

    Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi...
  20. JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…