ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma yanayotegemea Mikopo ili kujiendesha

  2. Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma ambayo Hayana Uwezo wa Kulipa Madeni ya Muda Mfupi

  3. Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  4. CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

    Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni. Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi. Usiondoke
  5. Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
  6. WHO, China zatoa ripoti kuhusu chanzo cha Corona

    Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
  7. Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
  8. Funzo Kutoka CAG Report ya ATCL: Profesa Mruma Awasilshe Upya Ripoti Ya Makinikia

    Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko...
  9. Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
  10. J

    Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

    Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu. Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa. Hao niliowataja unapofika...
  11. Nyuma ya pazia ripoti ya chimbuko la Corona inayotarajiwa kutolewa wiki hii

    Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii. Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
  12. Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania: Benki ya Dunia yapendekeza mfumo wa ncha 3 kupambana na COVID-19 na Mporomoko wa Uchumi

    Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube: Facebook: Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
  13. Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
  14. Hatimaye Ripoti ya Intelijensia ya Marekani kuhusu kuuawa kwa Khashoggi yatolewa, MBS atajwa kuhusika

    Baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili, hatimaye ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani kuhusu kuuawa kwa Jamal Khashoggi imeachiwa siku ya Ijumaa ikionesha kuhusika kwa uongozi wa Saudi Arabia katika tukio hilo. Ripoti hiyo yenye kurasa nne imemtaja Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed Bin...
  15. Ripoti: Simu za rununu huongeza hatari ya kupata Saratani hasa kwa Watoto na Vijana Duniani

    Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana. Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni. Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
  16. Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    Habari! Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti. Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
  17. K

    Wana-CCM, mtateswa na kuwa watumwa wa hii ripoti hadi lini?

    Wanabodi, tahadhima kwenu. Nianze kwa kuwauliza, hivi ni kwa nini viongozi waandamizi wa CCM wastaafu na walioko madarakani hawathubutu kumkosoa Rais Magufuli Mwenyekiti wao? Hivi ni kweli Magufuli yuko kwenye right track kiuongozi kiasi kwamba hatakiwi kukosolewa kwa lolote? Mara ya mwisho...
  18. Ripoti ya ziara yangu Kilimanjaro kuufunga mwaka 2020: Wachaga ni watu wa ajabu sana

    UTANGULIZI Kama nilivyoahidi hapa JF siku chache zilizopita kuwa nitakuja na ripoti kamili ya ziara yangu ya kutembea na kujifunza mkoani Kilimanjaro katika jamii ya kabila la Wachaga wakati wa kwenda kusheherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Kila kitu kwa ufupi na ufasaha nitakiweka hapa...
  19. Ripoti maalumu kuhusu masuala ya sekta ya wafanyakazi wa majumbani 2020

    RIPOTI YA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA SEKTA YA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI KWA MWAKA 2020 Muandaaji, Robert Heriel UTANGULIZI Imekuwa ni kawaida yangu kila mwisho wa mwaka kutoa Ripoti ya kile kinachojiri katika Sekta ya wafanyakazi wa ndani ili kuonyesha yanayoendelea humo, mapungufu na maboresho...
  20. Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…