Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka.
Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...