ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  2. CAG Ripoti: Matumizi NHIF yanazidi michango ya Wanachama

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao. Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
  3. S

    Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  4. S

    Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  5. Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  6. Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  7. Ripoti ya CAG kuhusu zilipo Fedha za 'Plea Bargain' inatoka lini?

    Wakati bado wananchi wakiwa kwenye sintofahamu ya nini kilitokea kwenye utaratibu wa kumaliza kesi za uhujumu uchumi uliotumika na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Rais Magufuli, swali jipya linaibuka zikiwa zimebaki siku chache mwezi Machi 2023 kumalizika na hakuna taarifa yoyote...
  8. Ripoti nyingine ajali ya Precision yatoka, yaonesha mambo 8

    Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera. Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...
  9. Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  10. Ripoti UNICEF: Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana Milioni 6.6 wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

    Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) umeonesha dunia inakabiliwa na ongezeko kubwa la Wanawake Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana waliothiriwa na Uhaba wa Chakula na #LisheDuni. Watoto Milioni 51 wenye chini ya miaka 2 wanakabiliwa na Udumavu kutokana na...
  11. Ripoti: Nusu ya watu Duniani watakuwa na uzito uliozidi Mwaka 2035

    Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo. Ripoti imeonesha four billion changamoto hiyo inaanzia kwa Watoto na Nchi zenye kipato cha chini au cha kati Barani...
  12. Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  13. Ripoti ya Prof. Mruma kuwa Accacia haipo Tanzania, ni wakati atujibu kama ripoti hii ilifanywa kwa kufuata maelekezo

    Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki". NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania) SOMA PIA: Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
  14. Gharama kubwa za Vifurushi vya Intaneti ni kikwazo kwa Waafrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti Gharama zinapokuwa...
  15. Ripoti GHACOF63: Uhaba wa Mvua utaongeza Watu wanaokabiliwa na Njaa

    JF SUMMARY Mamlaka ya Maendeleo baina ya Serikali za Afrika Mashariki, (IGAD) imesema eneo kubwa la Pembe ya Afrika linatarajiwa kukumbwa Mzozo wa Kiuchumi zaidi kutokana na Ukame utakaoendelea kwa msimu wa 6 mfululizo. Nchi za Ethiopia, Kenya, na Somalia zinatarajiwa kupata mvua chini ya...
  16. Ripoti NPS: Mbumbumbu waongezeka nchini

    Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji wa kaya (NPS) ya mwaka 2020/2021 inaonyesha kuwa asilimia 76.0 ya Watanzania wote kwa ujumla ndiyo wanaojua kusoma na kuandika. Takwimu hizi zinatoa tafsiri kuwa asilimia 24 iliyosalia ya Watanzania wote hawajui kusoma na kuandika. Idadi hii ni ishara hasi...
  17. Ripoti: Waasi wa M23 walibaka wanawake na kuua waume zao DR-Congo

    Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
  18. Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  19. M

    Hizi ripoti huwa haziakisi ukweli. Mimi nikiwa na Tsh 10,000/= nikiichenji tu inakatika ndani ya saa

    Supu ya buku mbili, mchana buku tatu usiku buku tatu buku teni inakuwa imeisha.
  20. Haya ni mapendekezo ya Tume ya Francis Nyalali (1994)

    Maktaba zina utajiri mwingi ukiamua kufuatilia. Lakini pia unaweza kukutana na swala katika msitu wakati malengo yako yalikuwa kuwinda sungura. Hii nafikiri ndiyo sababu kuna watu hawakosi kwenda pale Maktaba Kuu maarufu kama Tanganyika Library. Nikirudi katika mada, Tume ya ilikuwa inaratibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…