Shauri la Kikatiba Na.7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) na wenzake linaendelea kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.
Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna...
Wakili Peter Madeleka amesema Jaji Shande anaeleza ukweli kuhusu madai ya jaribio la mapinduzi lililoratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa, ingawa hakufafanua waliohusika moja kwa moja. Amesema kauli hizo zinaonyesha kuna mambo muhimu ambayo jamii bado haijayaelewa kikamilifu.
Madeleka amedai...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hakuna ubishi kuwa kilichotokea October 29, kimesababishwa na chuki iliyopitiliza!. Japo Ripoti ya Jaji Chande, imepunguza kidogo kiu ya taarifa kwa kuitaja idadi ya vifo, lakini bado haijapunguza machungu ya October 29 na kupooza...
07 May 2026
Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast
https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA
https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s
Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
chadema
chandejajijajichande
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
maamuzi
mkuu
mwanasheria
mwanasheria mkuu
mwanasheria mkuu wa chadema
rais
rais samia
ripotiripotiyajajichande
samia
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya alyetoa amri ya kutumia risasi za moto ni nani, vifo vyo 518 ni vifo halali vya haki?, wauwaji ni...
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.
Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.
Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi...
Halima Somda - THRDC
Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo.
Tume hiyo inayoongozwa na Jaji...
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025
Wananchi wote wa Tanzania kwa dhati ya moyo wetu tunaipongeza Ripoti ya tume ya uchunguzi chini ya Mwenyekiti Jaji Chande, hakika imekata kiu ya watanzania.
Sasa kilichobaki ni upande wa Serikali yetu chini ya Dkt. Samia kufanyia kazi mapendekezo yaliyo tolewa na tume.
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD na aliyekuwa Mgombea Urais wa kupitia chama hicho Doyo Hassan Doyo, amesema hayo Aprili 23 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi kuwasilisha na kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia.
Doyo ameongeza kuwa wao kama vyama vya Kisiasa...
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, wakieleza kufurahishwa kwao na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati alipokuwa akipokea ripoti ya Jaji Chande.
Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili.
Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism.
Leo inatoka ripoti ambayo imepikwa na mpishi ambae hata kupika hajui.
Watu wamechukia sana. Na huko mbeleni...
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
Kwa taarifa ya tume ya uchinguzi wa mambo yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa raisi wabunge na madiwani october 29.2025 na jaji chande imeonesha kuwa baadaya ya uchunguzi tume imebaini kuwa
1.Polis walikuwa kwenye vituo vya kupiga kura bila siraha.
Sasa maswali mengi watu...
Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29.
Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama rais na haiwezi kuombwa na wanachi ili waisome!
Wananchi tunahitaji kujua Tume imebaini mambo gani...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Aprili 23, 2026, chama hicho kimesema kinasimama imara katika msimamo wake wa awali...
Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji ukizingatia hiyo idadi?
Na kwa Samia mwenyewe kusema hadharani kuwa hiyo ripoti ni mali yake, ICC hawapati sababu ya kutilia mashaka hiyo ripoti?
Muda utasema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.