ripoti ya jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi. Akinukuu Biblia katika kitabu cha 2 Mambo ya Nyakati 7:14, Rais Samia amesema, “Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

    Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, haiwezekani asiye Mtanzania awe na uchungu zaidi yetu

    Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile, walioumizwa na tukio lile ni sisi Watanzania. Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, ni sisi tuliopoteza ndugu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Katiba Mpya inahitaji utulivu, tusiandike Katiba ya hasira, iundwe kamati kusikiliza maoni ya wananchi

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Serikali itenge Siku ya Maombolezo ya Kitaifa kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza kuanzishwa kwa taasisi mpya. Amesema "Tume inawasilisha mapendekezo mbalimbali yakiwemo ya muda mfupi...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Messages mlizonitumia kuniomba niseme kitu kuhusu ripoti ya Jaji Chande zinatosha.. msitume tena

    Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi leo Alhamisi, Aprili 23, 2026 kwa Rais Samia Suluhu. Siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani Andrew Lentz nae yupo Ikulu akisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande

    Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu? ?
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 The Voices From Within: "Watanzania poleni sana na samahani sana kwa yote, nawajibika". Tusameheane, turidhiane, twendeni pamoja kwenye Katiba Mpya!

    Wanabodi Mimi mwenzenu mzee wa masauti wakati Watanzania na dunia tukiisubiri kwa shauku na hamu kubwa Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, ambayo itaamua mustakabali mpya wa taifa letu la Tanzania. Asubuhi hii, nimeisikia tena ile sauti ya "The Voices From Within", kwenye sauti hiyo...
Back
Top Bottom