rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipi kilichowavutia yanga kumsajili mchezaji huyu huku akiwa na rekodi mbaya ya kadi nyekundu?

    Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
  2. X

    CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  3. Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  4. D

    Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

    Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
  5. Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  6. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  7. Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
  8. Je, kuna rekodi zozote za Mbowe kulaani posho na mishahara mikubwa ya ubunge pindi CHADEMA ikiwa na wabunge wengi bungeni?

    Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu. Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
  9. LeBron James avunja rekodi yake NBA, ni mchezaji pekee duniani kufikisha Pointi 40,000

    MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA) Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
  10. J

    Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

    Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0 Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
  11. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  12. Simba anapambana kuvunja rekodi ya miaka 45 ya Yanga kesho

    Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na Asante Kotoko ya Ghana. Simba katika papatu papatu zake za robo fainali ambazo nyingi ni za msimu wa...
  13. Muhimbili yaweka Rekodi nyingine ya kibingwa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa kutoa mfupa kwenye ubavu na kutengeneza kiungio (joint) cha taya la chini na fuvu ili kumtengenezea mgonjwa taya jipya la kulia lililoathiriwa na uvimbe. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Uso na Taya Dkt Arnold Augustino...
  14. Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Shauri Kushiriki “Tokyo Marathon 2024” mwezi Machi

    Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan. Kwenye mbio hizo...
  15. RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

    Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV) #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
  16. Jackline Sakilu avunja rekodi ya taifa ya Magdalena Shauri

    Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
  17. M

    Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

    Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league. Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi...
  18. Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  19. Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023. Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo...
  20. USHER avunja rekodi ya kutazamwa zaidi kwenye tamasha la Super Bowl Half Time

    Tamasha la nyota wa muizki wa R&N, Usher katika Super Bowl LVIII ndio Onyesho la Halftime lililotazamwa zaidi katika historia. Siku ya Jumanne, Front Office Sports iliripoti kwamba kipindi cha dakika 13 kilikuwa na wastani wa kutazamwa mara milioni 129.3. Rekodi ya awali ilikuwa ya Rihanna wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…