GT
Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa.
Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa.
Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu.
Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
Wakuu,
Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje?
Mkisikiliza huko mwisho anasema:
"Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi.
Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea...
Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
===============================================
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye...
GTs,
Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rcchalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
asubuhi
chalamila
dar
dar es salaam
genge
haramu
ikulu
kesho
kuandamana
kuelekea
kuzungumza
mjadala
mkoa
nani
nchi
nchi yetu
ndugu
nyingine
rais
rais samia
rcchalamila
saa
sababu
samia
taifa
wazee
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Leo nimekutana na baadhi ya vitu vya mafuta barabara ya Bagamoyo vipo wazi kwa vile tu ambavyo havikupata madhara, lakini hata bei ya mafuta imendelea kusalia ileile ilikuwepo awali kabla ya maandamano!
================
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Rc Chalamila amezungumza na waandishi wa...
RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari.
Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano yaliyotokea. Ameongeza kuwa watu kufa ni jambo la kawaida.
Katika simu alizokuwa anapokea, mama mmoja...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura.
RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika:
Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.