rayvanny

  1. Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  2. Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  3. Msanii Macvoice na tuhuma ya utapeli kwa mwanafunzi

    Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm. 📌Habari kamili. Na Hemedyjrjunior. 👇 Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania. Moja ya story ambazo...
  4. C

    Rayvanny stuka kijana, Baba Levo anatumwa kukutukana

    Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!! Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)! Tuanzie hapa! Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya 'Nitongoze'? Kama unakumbuka umetoa Ngoma tu ya audio ya Nitongoze kesho yake akatoa audio ya...
  5. Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  6. Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  7. Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  8. Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  9. L

    Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza. Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia...
  10. L

    Diamond platinum acha kuwatumia wakina Mwijaku/Wasafi media kumtukana Rayvanny

    Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo. Ukisikiliza kwa makini utaona kabisa Diamond anawatumia hawa watu kumchafua Rayvanny. Mwijaku kila...
  11. Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  12. SI KWELI Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
  13. Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  14. Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  15. Tetesi: Nimesikia Rayvanny anataka kumpandishia nyimbo Diamond...!!!

    Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine. Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke. Inawezekana ni coincidence tu watu wanataka kuchochea vita ila kama ni kwa nia mbaya basi mapanga yatatolewa galani atazamwi mtu usoni 🔥🔥🔥
  16. Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  17. Video ya Rayvanny na Zuchu iliandaliwa kwa bajeti ya Tsh Milioni 80

    Habari za usiku huu. Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake. watu wanawekeza jaman.
  18. Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

    CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you. Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa...
  19. Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  20. B

    Hivi ni kweli Rayvanny katoka WCB?

    Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…