Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja.
Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri.
Hata...
Kwa mahitaji ya ramani kwa gharama nafuu pia ukihitaji schedule of materials ambayo itakusaidia kwenye kufahamu idadi ya materials ya ujenzi wako, contact 0679851483/0754984819. Hii design in two bedrooms, na one masterbedroom,kitchen,dining,sitting room,store, design cover 11m x 12.5m.
hii...
Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je, wanakwama wapi?
Habari wakuu,
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa.
Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa...
Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA...
Kutazama Ramani Zake za Ndani
+255-657-685-268 WhatsApp
1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3...
Hii ramani ina masterbedroom, two bedrooms, sitting room,kitchen, dining,store room, public toilet na ina urefu 12.25m x upana 13.05m. kwa mahitaji ya ramani, makadirio, ushauri na usimamamizi wa ujenzi contact 0679851483/0754984819.
UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).
Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako.
Kwa bei poa kabisa utapata design yako
Baadhi ya kazi zetu
Affordable price
tupigie...
Tukio hili limetokea miaka ya 1970's wakati wa mchakato wa Ujenzi wa Reli ya Tazara inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia.
Mradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China...
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au pray room.
Habarini wakuu.
Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao.
Hebu fikiria umetumia milioni...
Habarini ndugu na marafiki,
Sote ni ndugu kwa sababu sote ni watanzania kwa hivyo sio vibaya wakati mwingine kusaidiana.
Sasa leo hii nimeamua kutoa ramani ya bure kabisa ili ukajenge.
Ukihitaji PDF file yake klick hapo chini kabisa nimesha kuwekea.
Kumbuka vipimo vyote kwenye hii ramani...
habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule
chumba kimoja master then public toilet
kiawanja ni sq 15/15
kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo
pia nipate kujua vifaa na idadi ya vitu vitakavyo itajika hadi kufika
kwenye lentaa
asanteni
Habari za leo wakuu,
Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa.
Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
Habari za leo wadau,
Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost ramani ya nyumba ile ambayo naendelea kuchora.
Hivyo hapa ndipo nilipo ishia. Ila bado naendelea nayo kila napo pata muda.
Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba.
Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo nilipofikia kwasasa. Ila bado haijamalizika bado naendelea kuipamba zaidi.