Given nameRamadhani Athumani Maneno, Tanzanian politicianSurnameJohn Ramadhani (born 1932), Tanzanian Anglican archbishop
Nabeel Siddiq al-Ramadhani (born 1954), British businessman
Nia Ramadhani (born 1990), Indonesian actress, singer, rapper, and dancer
Samson Ramadhani (born 1982), Tanzanian marathon runner
Sara Ramadhani (born 1987), Tanzanian long-distance runner
Waso Ramadhani (born 1984), Burundian football defender
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 16 Februari, 2026 ametoa sadaka maalum kwa viongozi wa dini ya Kiislamu katika Misikiti tofauti ya Musoma Mjini ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sadaka hiyo imelenga kuwasaidia viongozi wa dini...
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa.
Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye uhuru wa kuchagua na kuishi, mke na mume wanweza kuwa wa dini tofauti na hata mmoja akibadili dini kwa...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho...
Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha...
Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
22 MARCH 2025
Dar es Salaam, Tanzania
MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM
Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika leo huku wageni wakitoka Kibaha, Tanga na Kaskazini..
https://m.youtube.com/watch?v=4FXNwtlkcHA
Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo.
Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza.
Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.
Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican).
Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa...
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?
Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Hivyo kufunga...
Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi.
Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar...
Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?
Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi.
Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.