Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.
Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
Umekuja fashion ya kufuturisha
Wanaalikana matajiri tu
Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi
Kuna watoto yatima,.wazee, na waliowahitaji hasa
Yaani anafuturisha wasio wahitaji
Dini inasemaje kuhusu kufuturisha wasio funga na...
Tukigusia hizi ndoa zinazofungwa kuelekea Ramadhan tunapata picha kuwa ndugu zetu Waislamu ni wanafiki konki.
Yaani Mungu gani anayeweka kipaumbele mwezi wa watu kuwa watakatifu?
Swali: Kama Waislamu wanafunga kwanini demand ya chakula masokoni iwe kubwa?
Wazee wa marketing imekaaje hii?
Walaji...
"Ramadhan Cup ni ukosefu wa adabu, ni ukosefu wa adabu, maanake hawa Ramadhan Cup wakitoka kwenye Ramadhan Cup watakwenda Ijumaa Cup, watakwenda masahaba Cup hawa, watakwenda Adhuhuri Cup, watakwenda watakwenda watakwenda mwisho...hebu kuweni na adabu na dini ya Mwenyezimungu. Wote...
Ili kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi huko Saudia
Mbunge wa Handeni Mjini Reuben Kwagilwa Reuben ameshauri viongozi kutumia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma kukutana na makundi mbalimbali ya wadau katika kufuturisha kuweza kujadili maendeleo ya maeneo yao.
Akizungumza na viongozi dini,siasa na wananchi nyumbani kwake kwenye shughuli ya...
Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele.
Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake:
Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali za umma na binafsi, mabenki, watu binafsi huandaa futari au kufutulisha makundi mbalimbali kwenye...
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.
Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂
Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?
Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda kinyume na mwezi mtukufu.
Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano.
Israel ilikubali pendekezo...
Maana ya Niyyah na Mahali Pake Sahihi
Niyyah ni kusudio la ibada ambalo hutokea ndani ya moyo. Haihitaji kutamkwa kwa ulimi kwa sababu ni jambo la ndani ya nafsi. Mtume ﷺ na Maswahaba wake hawakuwahi kutamka niyyah kwa ibada yoyote, iwe ni Swalah, Saum, Hajj, au ibada nyingine.
Dalili:
Mtume...
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
Pasaka imeenda
Ramadhan imekwisha
Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano.
Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.