raisi

  1. S

    Amin nawaambieni, ikiwa Samia ataendelea kuwa na Wanamtandao na akashinda Uraisi, raisi wa Tanzania ajae baada ya Samia atakuwa Rizi One

    Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
  2. Tunahitaji Raisi kama Traore wa Burkinafaso sio madikiteta

    https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais Rutto wa Kenya kuhusu mauaji ya Gen Z huko Kenya. Aliiungwa mkono na Cyril Ramaphosa wa A. Kusini...
  3. Uchaguzi wa raisi wa wanavyuo(TAHLISO) ni lini

    Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi? Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
  4. Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  5. Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  6. B

    Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

    Habari ndo hiyo.. Yule msomalia kashinda tena
  7. K

    Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  8. A

    Huyu alie ombea mtungi wa gesi ukajaa gesi na wakazi wa chamwino walio changia raisi 250k achukue form nani ni msani zaidi

    Kuishi Tanzania ni raha sana vichekesho haviishi loh.
  9. Je, kauli ya Nchimbi kuwa raisi hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ?

    Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini. Tafakari,
  10. K

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  11. K

    Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

    Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
  12. Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  13. Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  14. S

    GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  15. K

    Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  16. Ellen Degeneres: naenda kuishi uingereza sababu ni Donald Trump

    Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya raisi Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa raisi. Mtangazaji huyo ameiambia hadhira huko Cheltenham...
  17. Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

    Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole. Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana . Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana...
  18. Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  19. Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  20. S

    Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

    Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa. Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia? Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…