Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya ambayo wananchi wataiamini. Kwasababu majaji wengi kwa sasa wanaonenakana kama hawaaminiki isipokuwa...
1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
ali hassan mwinyi
dkt. mwinyi
hussein ally mwinyi
hussein mwinyi
mwili
mwinyi
raisi
samia
samia hassan suluhu
special
special thread
suluhu
tanzania
tanzania bara
thread
zanzibar
Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu;
1. Mafisadi
2. Wezi
3. Wavivu makazini
4. Rushwa
5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi
Kuna kila dalili...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme.
Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa...
Mosi aliugua corona, pili ni Bankster alipitia World Bank na tatu hakuwa Makamu wa Rais kwa bahati mbaya.
Sasa anzeni kumjadili Mpango Phillip na muone jinsi mtakavyoishi naye kwani ndiye Rais ajaye, 2030 baada ya Samia, kila kitu kimepangwa na globalist ofcourse, …
Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania?
Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima.
Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea.
Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu hata makatibu wakuu, wakurugenzi nk nao ni wala rushwa .
Wakati mwingine wana hujumu makusudi kama...
Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku.
Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania wenzangu ukiwepo na wewe raisi wetu na Mtanzania namba moja, "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?" (Kazi...
Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2. Rais analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari.
Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu.
Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.
Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE
1) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa Rais kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa...
Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...