rais

  1. PreGE2025 Ruvuma: Naibu Waziri na Madiwani Mbinga wamshukuru Rais Samia kwa kuimba na kupiga magoti

    Salam Wakuu, Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye katoa hela, etc. Bila wananchi kulipa kodi zingtoka wapi? Pia soma...
  2. PreGE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4 Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia jengo hilo kurahisisha kufanya kazi zao kwa sababu miundombinu ni mizuri na pia aliwataka watumishi...
  3. Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  4. Napinga sana hoja ya kusema watoto ni malaika

    Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi...
  5. Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  6. PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
  7. F

    Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

    Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
  8. Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  9. Rais Samia Aridhishwa na Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Songea

    RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
  10. Rais Samia Akagua Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Bilioni 40.87 Zatumika

    RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100%...
  11. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  12. Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  13. Q

    Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  14. F

    Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  15. Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  16. Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  17. Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  18. Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  19. Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

    Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu 3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo...
  20. F

    Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…