rais

  1. JamiiForums Tanzania TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  2. JamiiForums Tanzania Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema Mkoa wa Tanga umepokea Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali! Hiyo miradi Iko wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa wakazi wa mkoa huo, huku wengi wakihitaji ufafanuzi kuhusu miradi hiyo na jinsi fedha hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Rais anaongoza, wao wanamkejeli anafanya comedy?

    Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii. Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  12. JamiiForums Tanzania Zamani rais wa Somalia akitaka kusafiri mkoan walitumwa usalama, saivi rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha

    Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki Dah...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais trump amtimua kazi mkuu wa majeshi ya Marekani pamoja na majenerali wengine watano

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027 Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Reuters: Trump fires top US...
  14. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanyeni hoja ya Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi (TAMISEMI) kuwa hoja kubwa, itaeleweka kwa haraka

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Uongozi kati ya Rais Mkapa Vs Samia

    Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TAA 2.TCRA 3.PPRA 4.BRELA 5.EWURA 6.TACAIDS 7.SUMATRA 8.TANROADS 9.TAKUKURU 10.TRA. 11.MKUKUTA. 12.MKURABITA. 13.HESLB Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Samia. 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 4. Kazi Iendelee 5. Generation...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…