rais

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Protocol za Makamu wa Rais Mteule

    Mwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule, 1. Ulinzi? 2. Msafara [Idadi ya Magari] 3.
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Rais Dr Samia Suluhu Hassan, akiamkia gerezani kesho kumwona Lissu itakuwaje? Alimuona Kenya na akaenda Ubelgiji pia

    Basi leo wakati wa jioni baada ya mihangaiko nikawa nafanya mazoezi. Ni kawaida yangu kufanya angalau mara tatu kwa wiki. Kwa kuwa tuko ktk kipindi cha maombolezo kipindi cha kuomba toba na neema ya Mungu nilikuwa nasoma Biblia Kitabu Cha Daniel kuanzia sura ya kwanza hadi ya 11 kwa njia ya...
  5. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, ingemtokea mpambe wa Rais (ADC) wangefanyaje?!

    Habari ja jioni wadau. Kuna jambo nimejiuliza nikakosa majibu nikaona niwashirikishe wadau saa nyingine yupo mwenye uelewa akanisaidia kunielimisha. Ni kuhusu tukio lililotokea siku za karibuni la mmoja wa walinzi wa mheshimiwa rais kushikwa na kizunguzungu na kulazimika kwenda kupumzika. Ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea makumbusho ya Muasisi wa Taifa la Angola, Agostinho Neto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili nampa hongera Mweshimiwa Rais SSH dr

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani. Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu. Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyopiga simu kwa Kadogosa baada ya kupewa tuzo ya 'Mwanamke Kinara'

    Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mamlaka ya Rais yamepatikana kikatiba, katiba imepewa mamlaka na nani?

    Hellow! Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo! 1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT? 2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi? 3. Na ikiwa mamlaka...
Back
Top Bottom