Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.
Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla.
Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi...
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi.
Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025.
Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1...
Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu.
Mawaziri na watumishi katika...
Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa haumilikiwi na taifa moja pekee kama ilivyo zamani
Tunashudia mabadiliko makubwa kutoka kutawaliwa...