rais

  1. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

    Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!! https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake. "Hasa nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kutenganisha shutuma za Rais wa TLS na CHADEMA. Anyway tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye kazi yake nadhani Kila mtu atafikiwa

    Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania. Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Paul Biya wa Cameroon adaiwa kufariki Ulaya

    Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu. Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Trump wa Marekani amesema kwa maafisa wa Serikali wanao vujisha siri/taarifa za serikali wanapaswa kuuwawa/kunyongwa.

    Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa. Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
  8. JamiiForums Tanzania John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Ujumbe Mzito Wa Rais Wetu Mpendwa Katika Kumbukumbu Ya Hayati Mwalimu Nyerere

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila atangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa DRC

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, ametangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa linaloitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN), hatua inayoweza kubadili mwelekeo wa mgogoro wa kisiasa na kiusalama unaoendelea mashariki mwa nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Balozi mpya wa Ubelgiji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati Balozi mpya Ujerumani

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi Mpya wa Nigeria

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  16. JamiiForums Tanzania Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa BBC Wahusisha Kikosi Maalum cha Ulinzi wa Rais na Vifo vya Waombolezaji Watatu Kasarani

    Uchunguzi mpya wa BBC Africa Eye umeibua maswali kuhusu mauaji ya waombolezaji watatu waliopigwa risasi wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, katika Uwanja wa Kasarani mnamo Oktoba 16, 2025. Katika uchunguzi uliotolewa Oktoba 12, 2026, BBC...
  18. JamiiForums Tanzania CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme . Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
  19. JamiiForums Tanzania EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers waitaka Serikali kuacha kumkandamiza Rais wa TLS

    Mtandao mzito wa taasisi na vyama vya kitaaluma vya sheria barani Afrika na duniani vikiwemo EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers ,vimeungana kutoa tamko zito la kuitaka Serikali ya Tanzania kuacha kuingilia na kutumia vyombo vya nidhamu kumkandamiza Rais wa Chama cha Wanasheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…