Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183.
Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
Rais anao wasaidizi waliosomea fani za Idara au Kitengo husika. Katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu japo Kampeni hazijaanza rasmi kwa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lakini ukweli ni kwamba tupo busy na Kampeni. Ukizunguka huku na kule utaona mapikipiki, khanga, baiskeli nk.
Hivi...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
Ndugu zangu Watanzania,
Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe.
Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk
Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais?
Kule Zaire Mobutu alikua na...
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.
Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.